Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Mtandao tu magoli ya kwanza na mm nikawa sifungi ,mida yangu saa 4 kuanzia hapo unakaa poa ukinifunga nitakubali ,ila nakutahadharisha kichapo cha aibu.
Sawa utaniita,maana pale nimekuonea huruma nikawa hadi najikosesha magoli nadhani umeona ile ya haaland nikaamua kuichop tu itoke
 
Sawa utaniita,maana pale nimekuonea huruma nikawa hadi najikosesha magoli nadhani umeona ile ya haaland nikaamua kuichop tu itoke
Naongea tena kwa kujiamini wewe wakawaida sana ,kikosi chaki kinanyumbulika kiasi ambacho hata waanzilishi wa hili gemu hawawezi kupona .

Natamani niletewe bingwa wa dunia wa gemu hili kama yupo nijipime ubavu maana sioni wa kunipa upinzani kwa sasa worldwide.
 
[emoji16]Utakuja jifia vibaya sana
 
Master nauliza nani mwingine anahitaji kichapo na kudai ufalme humu ? Kiande Fene nimeshamshona mdomo.
Ah! Wap

Sema hii game ilkuwa kama 2022 world cup final

Sema janja siku hiz unajitahid kupiga boli kiasi, japo kuna makosa nayaona nikikuelekeza hayo hadi huyo Singasinga hatakusumbua tena
Screenshot_20230421-232238_1.jpg
 
Ah! Wap

Sema hii game ilkuwa kama 2022 world cup final

Sema janja siku hiz unajitahid kupiga boli kiasi, japo kuna makosa nayaona nikikuelekeza hayo hadi huyo Singasinga hatakusumbua tenaView attachment 2596921
Haijawahi kutokea bonge mechi ,Halaand ilibidi amalize mapema akagonga nguzo dkk za majeruhi kisha ukachomoa dkk za Mareruhi tena Neymar akashinda kiulaini baada ya purukushani huku ulianza dhihaka za emoji wakati haujavuka mtoa.

Natuma salamu kwa Singasinga nitamuaibisha bora aendelee kukimbia kama jana.
 
Kwani nyie mnafanyaje mpaka mnapata coin za kununua wachezaji wakubwa kwangu Mimi mbona nashindwa kabisa.
 
Swali zuri
Ndio Bora watuelekeze buana maana Mimi nacheza nashindwa kabisa mchezaji WA ghali unakuta mmoja ni coin 920 Kila mmoja wale wachezaji wakubwa halafu unakuta mtu ana team ametengeneza wachazaji wote ni kuwango Cha juu mmewezaje? Nalipenda sana hili game
 
Kwani nyie mnafanyaje mpaka mnapata coin za kununua wachezaji wakubwa kwangu Mimi mbona nashindwa kabisa.
Kwanza unatakiwa u upgrade kiwanja chako hadi uweze ingiza 85000 fans

Hapo klabu itakuwa na uwezo wa kupanda hadi legendary division ambapo mech za huko utaweza ingiza coins nying per home games,

Kila utakapocheza career games zaidi ndipo utakapojikusanyia coins nying zaidi
 
Back
Top Bottom