Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Matokeo mechi ya kwanza ,kama ya kwanza ambayo natumia kusoma mbinu za mpinzani haujanifunga basi sahau ushindo.
Screenshot_20230803-222213.png
 
Hahahaha
Mtandao unasumbua sema nini Mzee kucheza na timu kama yako ni inshu ngumu Sana wachezaji umewa edit kinyama [emoji38] kila mchezaji ana above 90 rates Yana nguvu Sana
Hiyo ndio maana ya King humu

Ili uwe super power lazima uwe na vitu vya ziada kuwashinda wenzako

Unayo nafasi ya kujitetea, kajipange

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Huyu nilimuonya ,akanidhalilisha na kuleta nyodo sasa Master nimemziba mdomo#Nilikuonya 😂😂😂 😆
Screenshot_20230803-224715.png
 
Back
Top Bottom