Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Natoa tiba
Screenshot_2023-08-08-07-33-25-811_com.firsttouchgames.dls7.jpg

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Sas c angesema km akifungwa anaumia[emoji23][emoji23]tungepunguza idad ya magol
Huo mchezo siwezi kuchulia siriaz namna hiyo halafu mimi ni Master humu na DLS kwa ujumla hivyo siwezi kuomba ombi kama hilo ila nakuahidi na tunza risiti hii kwamba ukiona nimerudi sina stori zaidi ya vichapo tu.
 
Ebu Kdg ili Jina la Master nisingependa kila mtu alitumie humu ndani km Mi nipo au Eng ibird yupo ni kutoa taswira mbaya Kwa wageni wakiamin nyie mnaojiita mnajua kumbe Kelele kibao tu lkn kumfunga mtu huwez
 
Hauna uwezo huo labda Mimi na singasinga ukimfunga huyo jamaa kwa kumzidi baada ya kumaliza mechi nitakupa saluti.
Hawezi huyu nilicheza nae Labda acheze uhuni uhuni tu lkn Akae akitambua Yey hata akinifunga Game bado kwng hatakuwa mdg tu. Si Kuona Mpira wowote ambao Unaweza nishangaza
 
Ebu Kdg ili Jina la Master nisingependa kila mtu alitumie humu ndani km Mi nipo au Eng ibird yupo ni kutoa taswira mbaya Kwa wageni wakiamin nyie mnaojiita mnajua kumbe Kelele kibao tu lkn kumfunga mtu huwez
Ushindi wa siku moja hauwezi kumbuka mtu cheo chake ,huoni Argentina siku ya kwanza kombe la Dunia alifungwa na Saudi Arabia akadhihakiwa na kuchekwa mwishoni yeye akawa bingwa.

Nitakaporudi tena nikifungwa na mtu yeyote naacha kujiita Master nitatoa cheo kwa bingwa au kama vipi iwekwe shindano la wanaJf tu wa humu tuone who is the real Master.
 
Hawezi huyu nilicheza nae Labda acheze uhuni uhuni tu lkn Akae akitambua Yey hata akinifunga Game bado kwng hatakuwa mdg tu. Si Kuona Mpira wowote ambao Unaweza nishangaza
Hata nikikufunga nitakuwa mdogo tu!!?
Kwa kigezo gani? Kwamba umeni-dominate kwa kipind kirefu au? wakat tumecheza mara 1 tu

Sasa kwa uhuni gan naweza kukufunga wakati boli linatembea

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom