Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Vijana punguzenii ku hack una cheza na jitu wachezajii wote wamejaa coin kama zote anawa jaza sio ujanja huo tumia uwezo wako binafsii ndo maana najiita King of dls nna maan yangu wengii humu ma hack kwa hii post mnajijuwa[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
Hiii DLS huwez kui hack aisee... Cheza match nyingi sana ukipata Hela au madini Nunua wachezaji uza kwa ajili ya Kuwa coach Ili wawe strong
 
Vijana punguzenii ku hack una cheza na jitu wachezajii wote wamejaa coin kama zote anawa jaza sio ujanja huo tumia uwezo wako binafsii ndo maana najiita King of dls nna maan yangu wengii humu ma hack kwa hii post mnajijuwa[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
We Game uwez Bhn
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu unaikumbuka post yako wiki iliyopita??? Mi nililalamikia Hilo swala ukapinga ukasema mchezaji hodari haogopi kitu ni kucheza Tu ???

Ukweli mchungu ni kua huwezi shindana na timu iliyobustiwa utapigwa nyingi Sana... Otherwise ukutane na kibonde au wewe uwe na uwezo mkubwa yaani "exceptional" hivi hivi lazima ujute...

Naona yamekukutaaaa kuta kuta
Mbn Mi na Yellow Cards na napambana na hawa Vibonde wa Humu
 
Mambo yalikuwa Mengi Leo lkn nipende kusema Kesho nitakuwa Available muda wote mwenyew kutaka Friends Matches namkatibisha
 
Umeshafanya mazoez
Hii picha imepigwa leo msiseme ya muda Fene kayakanyaga amekuwa na adabu sasa. Kipigo cha mwanaukome 😂😂😂
Screenshot_20230812-235734.png

Screenshot_20230813-000955.png
 
Back
Top Bottom