Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Wakuu

Me nikibonde Dls..

Nitaomba mechi za kujifunza leo usiku kuanzia saa tano nitaomba nipate mwalimu
 
Kila nikiombaga game hum watu wanajifanya hawaoni, mnacheza kwa kujuana kwasababu wote ni viande
 
Maana now nipo napata msosi ila usicheze Mbal Leo nataka nifunge mtu mgeni
 
Back
Top Bottom