Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Ni Timu Moja tu kwny Hii Update iliyoweza kupiga Pass 100+ wkt ikicheza Attacking Game shots 9 zote zikiwa On target [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bingwa wa huu Uzi ni Mi Pekee yng
Screenshot_2023-12-10-09-07-06-91_7f24feae7b5e1c4a7a37a4a710799f37.jpg
 
Ebu leta mech uliyocheza na Mtu km utafikisha 100
Mzee kupiga pasi 100 si mchezo [emoji2] kuna mtu nimepigia pasi 79 yeye ana 10+ sema sehemu nilipo network ya Airtel inanisumbua sema kesho ntaweka bando halotel niwanyooshe
 
Yan umeona hata Mi sichezi sn network tatzo nachezea H+ ndy maana nimekuwa mvivu kuwafunga humu

Yaan Tz nchi yetu tabu tupu unakuta napiga pass mara mchezaji kaganda ..
Hebu vuta picha nipo katikati ya jiji namba moja tz halafu network haitoshi kucheza Kwa Raha online
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uza simu
 
Mbona ukiupdate game linarudi na wachezaji wako.. au we imekuaje?
Mi waliokua na 90 wapo vilevile.... Na kuhusu coin cheza career mechi au kama ni online jitahidi kugawa dozi upande tier
Hawa wa 90+ unawapataje mkuu? Ni kweli kabisa wachezaji wanarudi ila nguvu ndogo
 
Yan umeona hata Mi sichezi sn network tatzo nachezea H+ ndy maana nimekuwa mvivu kuwafunga humu
Hili game linazingua sana online,kama netwrk haipo gud wewe umesimama mwenzio anakugonga tu,yaani kama unapigana na mtu alafu umefungwa mikono na miguu
 
Back
Top Bottom