Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
Mbali hivyo twende saiv 😃😃Saa tatu usiku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbali hivyo twende saiv 😃😃Saa tatu usiku
Nipo sema muda nikija nikukute mkuu
Jamaa MrJobless nakubali ,DLS kipaji anaweza kuwakilisha Tz kwenye Olympic ila tatizo anaremba sana aliwahi kunionea tokea nlivyomsoma na kuweka mfumo wa viuongo wa 5 na kucheza aggressive futbol akawa hautaboi na kusingizia mtandao , mpaka Leo hajawahi kunionba mechi na anaogopa.Hata huyu black talented MrJobless alikua anacheza dls 24hrs
Anacheza dls kama lake
Unaokota walevi halafu unakuja kujisifu hauno aibu mkuu ?Kajichanganya 1234
Wewe ukinifunga na Mimi nikikufunga goli chini ya 3 naomba mods wanipe ban ya wiki hapa Jf.ngoja nije niwafunge tena
Utakimbia Mimi mpka lini mbona unaniogopa sana halafu unakimbilia viande ?Leta code tupashe
Sasa tupange siku na muda tucheze gemu 4 tumalize utata , ukinifunga nitakupa heshima yako na nitakutambua kama Master humu.Saw Upo live maana David Raya nimempata
Asubuhi kasema ni mtandao nimemshenyenta hivo hivoJamaa MrJobless nakubali ,DLS kipaji anaweza kuwakilisha Tz kwenye Olympic ila tatizo anaremba sana aliwahi kunionea tokea nlivyomsoma na kuweka mfumo wa viuongo wa 5 na kucheza aggressive futbol akawa hautaboi na kusingizia mtandao , mpaka Leo hajawahi kunionba mechi na anaogopa.
Ila Fene yeye ndio amekuwa kiande wake mechi zote MrJobles anamyanyasa Fene tena kwa goli nyingi..
Tatizo la mkuu MrJobless ndio Hilo ,hakubali kama amefungwa anasingizia mtandao ndio maana namkataa kama Master.Game ipi mtandao? Mbona umecheza poa tu
Mkuu umenifunga mechi Moja pekee kama sikosei ndio ambayo tumemaliza dk 90 , nyingine hazikuishia sababu za kimtandao .Huyo adriz tushamkimbiza humu amekimbia uzi
Twende game mbili fasterMkuu umenifunga mechi Moja pekee kama sikosei ndio ambayo tumemaliza dk 90 , nyingine hazikuishia sababu za kimtandao .
Sasa Master siwezi kukimbia kwa mechi Moja ambayo mtu kabahatisha sijapewa nafasi ya mechi za kujitetea. Kumbuka mechi ya kwanza nilikuwa mrahisi sababu nilifocous katika kusoma mchezo wako sasa hivi hautopata urahisi tena.
🤣🤣🤣 Oi unajua Mwanzo nilikuwa Mwanza lkn ss hv nipo Huku Ifakara mtandao sio kivile niseheme Chache ila tutakuwa tunacheza hivyo hivyoJamaa MrJobless nakubali ,DLS kipaji anaweza kuwakilisha Tz kwenye Olympic ila tatizo anaremba sana aliwahi kunionea tokea nlivyomsoma na kuweka mfumo wa viuongo wa 5 na kucheza aggressive futbol akawa hautaboi na kusingizia mtandao , mpaka Leo hajawahi kunionba mechi na anaogopa.
Ila Fene yeye ndio amekuwa kiande wake mechi zote MrJobles anamyanyasa Fene tena kwa goli nyingi..
Yan hapo sijajua Mchana naweza jaribu kucheza nikiwa Job Siku ambazo sio kazi Kazi nikiwa home mtandao unashuka hatariSasa tupange siku na muda tucheze gemu 4 tumalize utata , ukinifunga nitakupa heshima yako na nitakutambua kama Master humu.
Code yakoAdriz alete code me kupewa code aaah😂😂😂
Nimetoka live sasa hivi hapa Simu ina percent ndg naboost kama dakika 10 hivi kama unaweza nivumilia mkuu saa 10 nitakuwa hapa tupeane codeCode yako