Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Hata huyu black talented MrJobless alikua anacheza dls 24hrs
Anacheza dls kama lake
Jamaa MrJobless nakubali ,DLS kipaji anaweza kuwakilisha Tz kwenye Olympic ila tatizo anaremba sana aliwahi kunionea tokea nlivyomsoma na kuweka mfumo wa viuongo wa 5 na kucheza aggressive futbol akawa hautaboi na kusingizia mtandao , mpaka Leo hajawahi kunionba mechi na anaogopa.

Ila Fene yeye ndio amekuwa kiande wake mechi zote MrJobles anamyanyasa Fene tena kwa goli nyingi..
 
Asubuhi kasema ni mtandao nimemshenyenta hivo hivo
 
Game ipi mtandao? Mbona umecheza poa tu
Tatizo la mkuu MrJobless ndio Hilo ,hakubali kama amefungwa anasingizia mtandao ndio maana namkataa kama Master.

Mimi nikicheza na mtu mechi mechi nimeweza kuvumikia mpk dk 90 au 70 siwezi kusingizia mtandao najua Kama ilikuwa shida ya mtandao basi kidogo na ukiwa Master unakiputa hivyo hivyo.

Ndio maana nikicheza na mtu namwambia kabisa kama unaona mtandao shida Quit mapema kabla sijamaliza nguvu zangu mpk dkk 90 , ni vyema mtu ukaQuit game mapema unaona tatizo la mtandao ni kubwa na endelevu kuliko kuacha mtu amalize nguzu zake halafu unakuja kumpunguzia credit.
 
Huyo adriz tushamkimbiza humu amekimbia uzi
Mkuu umenifunga mechi Moja pekee kama sikosei ndio ambayo tumemaliza dk 90 , nyingine hazikuishia sababu za kimtandao .

Sasa Master siwezi kukimbia kwa mechi Moja ambayo mtu kabahatisha sijapewa nafasi ya mechi za kujitetea. Kumbuka mechi ya kwanza nilikuwa mrahisi sababu nilifocous katika kusoma mchezo wako sasa hivi hautopata urahisi tena.
 
Twende game mbili faster
 
Jamaa MrJobless nakubali ,DLS kipaji anaweza kuwakilisha Tz kwenye Olympic ila tatizo anaremba sana aliwahi kunionea tokea nlivyomsoma na kuweka mfumo wa viuongo wa 5 na kucheza aggressive futbol akawa hautaboi na kusingizia mtandao , mpaka Leo hajawahi kunionba mechi na anaogopa.

Ila Fene yeye ndio amekuwa kiande wake mechi zote MrJobles anamyanyasa Fene tena kwa goli nyingi..
🤣🤣🤣 Oi unajua Mwanzo nilikuwa Mwanza lkn ss hv nipo Huku Ifakara mtandao sio kivile niseheme Chache ila tutakuwa tunacheza hivyo hivyo
 
Sasa tupange siku na muda tucheze gemu 4 tumalize utata , ukinifunga nitakupa heshima yako na nitakutambua kama Master humu.
Yan hapo sijajua Mchana naweza jaribu kucheza nikiwa Job Siku ambazo sio kazi Kazi nikiwa home mtandao unashuka hatari
 
Ifike wakati tofauti yangu na tier two tukae chini tumalize ona nimenyooshwa gemu tano kama nimesimama
Screenshot_20240819-153033.png
 
Back
Top Bottom