MrJobless
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,091
- 1,342
Acha Yan tumecheza nae kaona Bora atake advantage kuna videmu vilikuwa vinatuma text Yeye anafunga ila bado sn Kijana hajajua anachangamotoNa DR SANTOS mwamba ana shida ya kutojali fair play mechi aliyonifunga 5 magoli mawili wachezaji wamesimama yeye anafunga tu bila kujali , ajirekebishe ..