Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Me mwenyewe sielewi😃😃😃najua ya kutanguliza mpira tuu labda nikicheza na Dr Santos hiyo saa tatu nitajifunza
Kucheza DLS Kwa Raha zingatia sn mifumo unayotumia itakusaidia sn kwamba ukitumia 4 4 2 Pass zako Kwa Mpinzan ziwe zinapigiwa upande gani

Mpinzan akija na 3 4 3 ni advantage ipi kweny kumshambulia unapata piga pass kwny madhaifu yake hapo ss linapaki Swala la umefungwa Kwa Uwezo ila Mpinzan kaona Challenge
 
Kucheza DLS Kwa Raha zingatia sn mifumo anayotumia itakusaidia sn kwamba ukitumia 4 4 2 Pass zako Kwa Mpinzan ziwe zinapigiwa upande gani

Mpinzan akija na 3 4 3 ni advantage ipi kweny kumshambulia unapata piga pass kwny madhaifu yake hapo ss linapaki Swala la umefungwa Kwa Uwezo ila Mpinzan kaona Challenge
Nimefika tier two nimeona mfumo wa mtu kupiga one two mpk anakufunga nataka nipambane niimaster hii nzuri sana
 
Nimefika tier two nimeona mfumo wa mtu kupiga one two mpk anakufunga nataka nipambane niimaster hii nzuri sana
Hapo elewa Mfumo wako so unapiga pass kufata arrangement ya players sometimes sio mpk umuone lkn Kwa pass fup fup punguza Camera distance ili uwe unawaona wakiwa wakubwa na karibu
 
Kucheza DLS Kwa Raha zingatia sn mifumo unayotumia itakusaidia sn kwamba ukitumia 4 4 2 Pass zako Kwa Mpinzan ziwe zinapigiwa upande gani

Mpinzan akija na 3 4 3 ni advantage ipi kweny kumshambulia unapata piga pass kwny madhaifu yake hapo ss linapaki Swala la umefungwa Kwa Uwezo ila Mpinzan kaona Challenge
Aah basi hichi kitu me ndo sina nachojua ni kustick kwenye formula yangu kuwaza weakness ya upande wa pili hicho kitu sijawi fanya
 
Nikimaliza kujifunza kukaba itabid nianze hii sasa ya kuwa kama coach...
Ukitaka kukaba tumia sn directions ukikaribia Mpira hold B na mara nying penda kuchange Active Player (Bonyeza C) ukiwa una Mpira ili kumpa Active Mchezaj alie Karibu na mpira so na km tactics utakuwa umeweka Defensive obviously mchezaj akiwa Hana Mpira atakuambia kurud goal kwako
 
Back
Top Bottom