Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Ukitaka kukaba tumia sn directions ukikaribia Mpira hold B na mara nying penda kuchange Active Player (Bonyeza C) ukiwa una Mpira ili kumpa Active Mchezaj alie Karibu na mpira so na km tactics utakuwa umeweka Defensive obviously mchezaj akiwa Hana Mpira atakuambia kurud goal kwako
Umetisha sana

Hapo kwenye tactics ipi nzuri kati ya attacking, balanced na Defensively

Binafsi ni mdau wa balanced sijawai jaribu hizo nyingine

Pia issue nyingine kwenye kona je kuna technique yoyote ya kuwin vichwa kabla ya wapinzani..

Maana wale wanaopiga kona ndefu then anatoa pasi ya kichwaa ni janga ambalo nimeshalishindwa...
 
Aah nakuwa na Attacking wawili si kwenye kukaba nitapitwa sana
I'll game tu huwezi kupitwa na km unaona Mpinzan anakuja sn kwako Goal Change Mfumo weka 3 4 1 2 hapa ukiweka defensive wingback ukaweka hata Winger zenye speed na DM zote ukaweka Mtu ndefu Kdg oi hyo no kisanga Labda Net iwe jau tu ila utakuwa unakaba Kwa urahisi (Sometimes ukiona mtu anakuzid kiwango tumia Advantage ya kuwa na number ya wachezaj wenge kwenye eneo alilo na wachezaj wachache araf penda kuchezea ilo Eneo)
 
Umetisha sana

Hapo kwenye tactics ipi nzuri kati ya attacking, balanced na Defensively

Binafsi ni mdau wa balanced sijawai jaribu hizo nyingine

Pia issue nyingine kwenye kona je kuna technique yoyote ya kuwin vichwa kabla ya wapinzani..

Maana wale wanaopiga kona ndefu then anatoa pasi ya kichwaa ni janga ambalo nimeshalishindwa...
Tactics nzr n Defensively ili ukiwa huna Mpira directions za wachezaj wako zote ziwe zinarudi Nyuma.
Kukaba Kona sio Nyepes Japo Unaweza kupunguza Kwa kuangalia mchezaj wako mwenye Active Players awe Karibu na Eneo la penalty au upande wa Huku Kona inapopigiwa ikipigwa Kona hold B sometimes Unaweza pia kudouble tap
 
Sawaa mkuu

Shukrani kwa madini haya🙏
 
Si ni casemiro na Rodri na hapo casemiro na VVD nataka kuuza ninunue Rice na Salibq
Dream sijui wanashusha viwango vya wachezaji ? maana miaka miwili iliyopita na mwaka Jana VVD wangu alikuwa kitasa mwaka huu Mzembe japo Yuko full ndio maana nafungwa kizembe.

Mimi kosi langu lote wazee hawapo kwenye soko na ubora misinu ya karibuni , inabidi nilete vivazi vipya
 
Hapo ukikomaa kabla ya Ijumaa utakuwa tier 1
Ngoja tukicheza kwanza mkuu unipe marks kabisa
I'll game tu huwezi kupitwa na km unaona Mpinzan anakuja sn kwako Goal Change Mfumo weka 3 4 1 2 hapa ukiweka defensive wingback ukaweka hata Winger zenye speed na DM zote ukaweka Mtu ndefu Kdg oi hyo no kisanga Labda Net iwe jau tu ila utakuwa unakaba Kwa urahisi (Sometimes ukiona mtu anakuzid kiwango tumia Advantage ya kuwa na number ya wachezaj wenge kwenye eneo alilo na wachezaj wachache araf penda
Formation sijawai jaribu zaid ya 4-1-2-1-2 ngoja nitajaribu na hiyo
 
Dah!
Mnanitia mzuka master wenu kwakweli

Ngoja, kwa kuki boost performance haka kasimu naweza bado nikawatembezea vipigo

Mkiwepo tena nitakuja ku test mitambo
 
Back
Top Bottom