Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Jamani kwema humu, hili game nilikuwa nacheza kiptia iPhone but iPhone imepata shida .
Nime install kwenye sumsang A15,but naona limekuwa zito lina stack malakwamala,shida ninini?
 
Code mtakula za uso
 
Attachments

  • FB_IMG_1725202305927_1.jpg
    FB_IMG_1725202305927_1.jpg
    199.7 KB · Views: 6
Natoa zawadi ya elf 50 kwa yoyote kati yenu atakae pata ata sare tu kwangu.... nadhani hapa Africa hakuna mtu anaeweza kunifunga dream league.... yaan hua inafikia hatua natoa wacheza wote alaf nasajili mid players wenye rate 68 na 70 na nna beba kila kombe.
 
Leta code nikushenyente
 
Kumbe kila kombe? Cheza online japo fika tier 6... na kikosi cha kawaida uone Msala au leta code na mi ntapanga wachezaji wa kawaida, ukipata hata sare ntakupa bando la mwezi...
 
Sasa kama hata hajui code n nn kuna mchezaji hapo?? [emoji81][emoji2957]
Nilikua chimbo nagawa dozi tu sina mambo mengi... jana nimeanza kucheza za online hakuna ata mmoja aliepata sare... nimeanza jana naona leo niko tier 10 na basi niko bize.. nikiwa free nadhani ntakua tier 1 ndani ya masaa mawili tu.
 
Natoa zawadi ya elf 50 kwa yoyote kati yenu atakae pata ata sare tu kwangu.... nadhani hapa Africa hakuna mtu anaeweza kunifunga dream league.... yaan hua inafikia hatua natoa wacheza wote alaf nasajili mid players wenye rate 68 na 70 na nna beba kila kombe.
Chagua tunacheze Card ipo araf njoo
 
Back
Top Bottom