Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Sina muda mrefu kulicheza ila kila ninavyo update uwanja ndiyo nakutana na upinzani mkubwa .hiv sasa nikijitahi sana ni dro
Inabid uingie sokon kusajili.. pia jitaid kama unaanza uchague kapten ambaye ni straika akusaidie kufunga...

Pia huwa kuna season awards ipo juu ni ya siku tisa ukikamilisha yote unapata Agent ambayo unapewa mchezaji wa blue (uwezo wake 70 to 79)anasaidia kuongeza nguvu kikosini...


Jitaid unbalance wachezaji na uwanja
 
Back
Top Bottom