Dreamliner likachote Watalii Nairobi, Joberg 2 ZNZ&Kilimanjaro

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Dreamliner likianza kupaa nje ya TZ likachote Watalii Nairobi na Johannesburg kisha breki ya kwanza KILIMANJARO kisha Zanzibar. Dreamlinee iachane na route ya Mwanza isiyo na Mashiko. Huko Mwanza sijui Mbeya/Mtwara/Songea/tabora/kigoma ziende Pangaboi....
 
Naunga mkono hoja... maana hizi route za Mwanza Drimulaina letu litaanza kunuka shombo la Sato. Wapiga kura wa jiwe tunawajua wenyewe....
 
Mwanza inawafaa pangaboi
 
Si kwamba hatuwapendi Mwanza bali utalii kwanza
 
Kweli, Mwaka huu wachina wamekwenda kutalii kwa wingi sana kwenye miji ya London na Paris, hata hivyo baadhi wenye pesa zao hawajasuuza roho zao huko ulaya kama walivyotarajia. Route za moja kwa moja hadi China kwa Dreamliner ni uhakika wa mapato kutoka kwenye utalii.
 
Tunataka Dreamliner lilipe pesa tuliyonunulia kuliko hizi senti-senti tunazookoteza Dar-MWZ
 
Dreamliner likianza kupaa nje ya TZ likachote Watalii Nairobi na Johannesburg kisha breki ya kwanza KILIMANJARO kisha Zanzibar. Dreamlinee iachane na route ya Mwanza isiyo na Mashiko. Huko Mwanza sijui Mbeya/Mtwara/Songea/tabora/kigoma ziende Pangaboi....
Katibu Mkuu Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho alisema ndege hiyo yenye uwezo wa kuchukua abiria 262, itaanza kutoa huduma kwa safari za ndani katika vituo vya Dar es Salaam, Kilimanjaro na Mwanza.
Mwezi Septemba itaanza safari zake kwenda Bombay nchini India, Guangzhou nchini China na Bangkok nchini Thailand.
Dkt Chamriho alisema kwamba utaratibu umeanza ili ifanye safari za kwenda Uingereza na miji mingine duniani.
 
Make Tanzania Great Again (MATAGA). Tunapoambiwa tuwe na Kuisoma kwa makini Ilani ya Chama chetu tuwe tunaelewa
 
Dreamliner likianza kupaa nje ya TZ likachote Watalii Nairobi na Johannesburg kisha breki ya kwanza KILIMANJARO kisha Zanzibar. Dreamlinee iachane na route ya Mwanza isiyo na Mashiko. Huko Mwanza sijui Mbeya/Mtwara/Songea/tabora/kigoma ziende Pangaboi....
Watalii unaowaona leo walishafanya travel arrangements some months ahead na kulipia. Kama mnataka watalii watumie ndege yako inabidi uamze kuitangaza wafanye booking na in advance na actual trip unaweza kuifanya at least three months ahead
 
Dreamliner likianza kupaa nje ya TZ likachote Watalii Nairobi na Johannesburg kisha breki ya kwanza KILIMANJARO kisha Zanzibar. Dreamlinee iachane na route ya Mwanza isiyo na Mashiko. Huko Mwanza sijui Mbeya/Mtwara/Songea/tabora/kigoma ziende Pangaboi....
Ruti hauamki tu na kujiamulia uende wapi.
 
Back
Top Bottom