Naunga mkono hoja... maana hizi route za Mwanza Drimulaina letu litaanza kunuka shombo la Sato. Wapiga kura wa jiwe tunawajua wenyewe....Dreamliner likianza kupaa nje ya TZ likachote Watalii Nairobi na Johannesburg kisha breki ya kwanza KILIMANJARO kisha Zanzibar. Dreamlinee iachane na route ya Mwanza isiyo na Mashiko. Huko Mwanza sijui Mbeya/Mtwara/Songea/tabora/kigoma ziende Pangaboi....
Tunataka Dreamliner lilipe pesa tuliyonunulia kuliko hizi senti-senti tunazookoteza Dar-MWZKweli, Mwaka huu wachina wamekwenda kutalii kwa wingi sana kwenye miji ya London na Paris, hata hivyo baadhi wenye pesa zao hawajasuuza roho zao huko ulaya kama walivyotarajia. Route za moja kwa moja hadi China kwa Dreamliner ni uhakika wa mapato kutoka kwenye utalii.
Katibu Mkuu Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho alisema ndege hiyo yenye uwezo wa kuchukua abiria 262, itaanza kutoa huduma kwa safari za ndani katika vituo vya Dar es Salaam, Kilimanjaro na Mwanza.Dreamliner likianza kupaa nje ya TZ likachote Watalii Nairobi na Johannesburg kisha breki ya kwanza KILIMANJARO kisha Zanzibar. Dreamlinee iachane na route ya Mwanza isiyo na Mashiko. Huko Mwanza sijui Mbeya/Mtwara/Songea/tabora/kigoma ziende Pangaboi....
Nilidhani baba yako ndo katengeneza mkuu. Kumbe imetengenezwa huko huko nje? Hongera kwa jpmKwani imetengenezewa wapi? Si nje huko huko? Au ulidhani SIDO ndio wametengeneza?
Naunga mkono hoja... maana hizi route za Mwanza Drimulaina letu litaanza kunuka shombo la Sato. Wapiga kura wa jiwe tunawajua wenyewe....
Tukiwaambia WACHAGA mna CHUKI mbaya sana katika nafsi zenu mnabisha.Mwanza inawafaa pangaboi
Watalii unaowaona leo walishafanya travel arrangements some months ahead na kulipia. Kama mnataka watalii watumie ndege yako inabidi uamze kuitangaza wafanye booking na in advance na actual trip unaweza kuifanya at least three months aheadDreamliner likianza kupaa nje ya TZ likachote Watalii Nairobi na Johannesburg kisha breki ya kwanza KILIMANJARO kisha Zanzibar. Dreamlinee iachane na route ya Mwanza isiyo na Mashiko. Huko Mwanza sijui Mbeya/Mtwara/Songea/tabora/kigoma ziende Pangaboi....
Umeacha ushoga?Tukiwaambia WACHAGA mna CHUKI mbaya sana katika nafsi zenu mnabisha.
Shame on you MOFOs...
Povu hiliTukiwaambia WACHAGA mna CHUKI mbaya sana katika nafsi zenu mnabisha.
Shame on you MOFOs...
Matusi na kejeli ndio kimbilio lenu. Sababu kichwani ni bure kabisa. Chuki zitawamaliza.Umeacha ushoga?
Katawazie kunako...linasafisha haswaa.Povu hili
Ruti hauamki tu na kujiamulia uende wapi.Dreamliner likianza kupaa nje ya TZ likachote Watalii Nairobi na Johannesburg kisha breki ya kwanza KILIMANJARO kisha Zanzibar. Dreamlinee iachane na route ya Mwanza isiyo na Mashiko. Huko Mwanza sijui Mbeya/Mtwara/Songea/tabora/kigoma ziende Pangaboi....