Dreamliner na Bombardier kuanza kutengeneza faida mwaka 2023: Hii ni kutoka kupata hasara ya bilioni 14 kwa mwaka kabla Magufuli hajalifufua ATCL

Mgambilwa ni mntu

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
2,869
Reaction score
3,187
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) linatarajiwa kuanza kupata faida mwaka 2023, kulingana na Mpango wake wa kibiashara wa mwaka 2017/2022. Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Ladislaus Matindi alisema hivi sasa Shirika linajiendesha kwa hasara kutokana na madeni ambayo menejimenti mpya imeyakuta.
Matindi alisema kiwango cha hasara katika Shirika hilo lililoanza kufufuliwa mwishoni mwa mwaka 2016, kimepungua kutoka bilioni 14.2 mwaka huo hadi bilioni 4.3 mwaka 2017.
Hata hivyo, mapato yameongezeka kufikia bilioni 4.5 kwa mwezi mwaka 2017 kutoka milioni 700 mwaka 2016.
IMG_6247.JPG
IMG_6248.JPG
 
Hapa tu ndipo ninapomuelewa MAGUFULI kwa ujasiri wake wa ajabu sana juu ya hili shirika letu la NDEGE.....he is the best president ever...nadhani hakuna RAIS wa kufanananishwa nae kwa sasa kwenye hili balaa letu la AFRIKA..
he has done so many wonders within short period of time
 
Hapa tu ndipo ninapomuelewa MAGUFULI kwa ujasiri wake wa ajabu sana juu ya hili shirika letu la NDEGE.....he is the best president ever...nadhani hakuna RAIS wa kufanananishwa nae kwa sasa kwenye hili balaa letu la AFRIKA
Duuh!wala huhoji matumizi wewe unasifu tuuu
 
Waswahili wanasema hivi..'CHARITY START AT HOME' anza kwanza kuhoji matumizi ya kopdi zetu hapo UFIPA ndio utoke huku nje
Atcl ni mali ya chama au ni mali ya umma?nakuuliza wewe pwagu
 
kuna watu wanazidi kuona aibu milioni 700 hadi billioni 4.5 kwa mwezi.Ina maana ndani ya mwaka faida inayopatikana inaweza kununua bombardier nyingine na faida ikabaki.Habari njema ni kuwa faida hii ni takwimu za 2017 kabla ya ujio wa dreamliner hii inamaana faida itaongezeka maradufu.Ongera Rais wetu.
 
Hapa tu ndipo ninapomuelewa MAGUFULI kwa ujasiri wake wa ajabu sana juu ya hili shirika letu la NDEGE.....he is the best president ever...nadhani hakuna RAIS wa kufanananishwa nae kwa sasa kwenye hili balaa letu la AFRIKA..
he has done so many wonders within short period of time
Unaonaje ukiwa verified user?? Bado teuzi zinaendelea unaweza kunyakuliwa
 
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) linatarajiwa kuanza kupata faida mwaka 2023, kulingana na Mpango wake wa kibiashara wa mwaka 2017/2022. Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Ladislaus Matindi alisema hivi sasa Shirika linajiendesha kwa hasara kutokana na madeni ambayo menejimenti mpya imeyakuta.
Matindi alisema kiwango cha hasara katika Shirika hilo lililoanza kufufuliwa mwishoni mwa mwaka 2016, kimepungua kutoka bilioni 14.2 mwaka huo hadi bilioni 4.3 mwaka 2017.
Hata hivyo, mapato yameongezeka kufikia bilioni 4.5 kwa mwezi mwaka 2017 kutoka milioni 700 mwaka 2016.
View attachment 835220View attachment 835221
nasubiri ikifika hiyo 2023 mtamsingizia nani pale "pangaboi litakapotawanya kinyesi" (kiingereza cha hii unakijua!)

maana hapa chini mlitoa kauli hizi lakini mmeishia kuwaweka ndani kina Singh & Rwegemarila.....

JK: Fedha za Tegeta Escrow ni za IPTL

Waziri Prof Muhongo asema fedha za Escrow si mali ya umma, adai bado Serikali inadaiwa | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today

Werema asisitiza fedha za Escrow si za umma | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today
 
kuna watu wanazidi kuona aibu milioni 700 hadi billioni 4.5 kwa mwezi.Ina maana ndani ya mwaka faida inayopatikana inaweza kununua bombardier nyingine na faida ikabaki.Habari njema ni kuwa faida hii ni takwimu za 2017 kabla ya ujio wa dreamliner hii inamaana faida itaongezeka maradufu.Ongera Rais wetu.
Hapa sijaelewa hivi ikiwa tunadaiwa 4.3 na mapato 4.5 kwa mwezi kwa nn faida ije kuanzi 2023 wakati deni ni dogo kuliko mapato?
 
Hapa tu ndipo ninapomuelewa MAGUFULI kwa ujasiri wake wa ajabu sana juu ya hili shirika letu la NDEGE.....he is the best president ever...nadhani hakuna RAIS wa kufanananishwa nae kwa sasa kwenye hili balaa letu la AFRIKA..
he has done so many wonders within short period of time
Sure mzee. Rais Magufuli katika kumchambua kwa analysis zote, theories zote, hypotheses zote na approaches zote, bado ame-outperform sana expectations za kiongozi mwenye sifa za kuleta maendeleo.
 
nasubiri ikifika hiyo 2023 mtamsingizia nani pale "pangaboi litakapotawanya kinyesi" (kiingereza cha hii unakijua!)

maana hapa chini mlitoa kauli hizi lakini mmeishia kuwaweka ndani kina Singh & Rwegemarila.....

JK: Fedha za Tegeta Escrow ni za IPTL

Waziri Prof Muhongo asema fedha za Escrow si mali ya umma, adai bado Serikali inadaiwa | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today

Werema asisitiza fedha za Escrow si za umma | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today

Mkuu kwa sababu wanalindwa kwa Mitutu ya Bunduki watatoa sababu nyingine ,iwe tuna kubaliana nao au la.
 
Hapa sijaelewa hivi ikiwa tunadaiwa 4.3 na mapato 4.5 kwa mwezi kwa nn faida ije kuanzi 2023 wakati deni ni dogo kuliko mapato?
yaani 2016 atcl ilikuwa inapata hasara ya bilioni 14 hii ni kwasababu faida ilikuwa ndogo halafu hasara ni kubwa,lakini kwa sasa faida ni kubwa hivyo inazidi kupunguza hasara.Hivyo ndivyo nilivyoelewa mkuu
 
Hapa sijaelewa hivi ikiwa tunadaiwa 4.3 na mapato 4.5 kwa mwezi kwa nn faida ije kuanzi 2023 wakati deni ni dogo kuliko mapato?
Nadhani faida inapatikana baada ya kuchukua mapato yote kwa kipindi husika halafu ukatoa madeni, gharama za uwekezaji, gharama za uendeshaji. Kinachobaki hapo kama kipo positve ni faida, kama negative ni hasara.

Yaani
Total Revenue - Debts - Investments cost - Running Cost = Profit (+) or Loss (-)

Hesabu hiyo ni kwa mujibu wa uelewa wangu wa biashara wa kimtaani, wenye taaluma yao wanaweza kunisahihisha.
 
Back
Top Bottom