mkuu kwa hivyo ww unasubiria hadi "makamanda" watwae dola ndio upande ndege?!Ilani ya CCM unayo? au unapandapanda tu ndege za watu!
Tatizo nini wakati fidia iko kwenye bei ya Tiketi hata likigeuzia Ulaya kutua KIA au Mwanza wewe kinakuwasha nini kama cost zote ziko covered kwenye Tiketi mwehu Na msomi koko wewe .Kunyanyua hilo dege from Dar na kutua KIA au MWZ ni matumizi mabaya ya resources; inabidi likageuzie South Sudan kuitafuta runway. Sio mchezo.
Ndege mpya ya ATCL ya Dreamliner, inatarajiwa kuanza safari zake za tarehe 29 Julai 2018 kwenda Mwanza na KLM kwa kishindo baada ya tiketi kuisha mpaka za kufikia tarehe 18 Agosti 2018. Hongera sana Rais Magufuli kwa kufikiria madude kama haya.
View attachment 807780
Wewe hata biashara ya usafirishaji hata ya kusukuma mkokoteni hujawahi fanya mambo ya ndege achia wenyeweHamuwezi kuendesha hili shirika kwa faida kwa kutegemea mauzo ya ticket tu hasa tukianza route za kimataifa.
Kwa safari za Mwanza na KLM kabla halijafika kwenye Level yake kule Juu tayariKunyanyua hilo dege from Dar na kutua KIA au MWZ ni matumizi mabaya ya resources; inabidi likageuzie South Sudan kuitafuta runway. Dude ambalo uwezo wake wa "wese" ni lita 126,210 yaani zile semi-trailer tanker za mafuta zinamimina mle 3 na bado halijai. Sio mchezo.
Dakika 50Safi sana,nakumbuka Mwz-Dar kwa Bombadier ni kama saa 1.45 hivi,kwa hilo mashine itachukua muda gani..?
ha ha haaa.. Wanaogopa trafiki tena siku hizi wameongeza dau, bajaji wanaanzia 30,000 kosa moja, sipati picha drimu laina likifumwa likiwa na mshkaki!Kama tiket zimeisha si wasimamishe abaria? Ngoma ishone hadi vyooni[emoji41]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama tiket zimeisha si wasimamishe abaria? Ngoma ishone hadi vyooni[emoji41]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mkuu kwa hivyo ww unasubiria hadi "makamanda" watwae dola ndio upande ndege?!
ss si utakufa bila kupanda ndege[emoji23] [emoji23]
Yeye hua anasema MBERE sio MBELEHongera JPM, Hongera Tanzania. Sasa tunaweza kutembea kifua mbele.
Wanategemea nini zaidi? Ni vyema unge dadavua.Hamuwezi kuendesha hili shirika kwa faida kwa kutegemea mauzo ya ticket tu hasa tukianza route za kimataifa.
Gharama za kuhudumia ndege, chakula kwa abiria, hoteli kwa abiria panapotokea matatizo, charge za kupaki/kutua katika viwanja vya ndege,kulipa mainjinia wa kuihudumia, n.k kamwe haviwezi kubebwa na mauzo ya ticket.
Wanaofanikiwa katika hii biashara hawategemei mauzo ya ticket tu vinginevyo mashirika mengi yasingekuwa yanatangaza hasara.
Pia eleweni tu Bombardier zilizokuwa zinatumia hiyo route sasa zinakosa abiria na ni hasara kuzipaki kwa huo mwezi mzima.
naskia lina wivu na zutu, vipi kwa hizo dak, litakua limebugia lita ngapi labda?Dakika 50
Stone style hiyo hata usishangae...Atcl mtu akiandika malalamiko kwenye page zao hawamjibu lakini wakisifia fasta wanajibu
Sijui wakoje hawa jamaa!
Ni lini mlitembea kifua nyuma?Hongera JPM, Hongera Tanzania. Sasa tunaweza kutembea kifua mbele.