Dreamliner yaanza safari kwa kishindo: Tiketi za Mwanza na KLM tayari zimeisha mpaka tarehe 18 Agosti 2018

Dreamliner yaanza safari kwa kishindo: Tiketi za Mwanza na KLM tayari zimeisha mpaka tarehe 18 Agosti 2018

Hamuwezi kuendesha hili shirika kwa faida kwa kutegemea mauzo ya ticket tu hasa tukianza route za kimataifa.

Gharama za kuhudumia ndege,mafuta, mishahara ya wafanyakazi, chakula kwa abiria, hoteli kwa abiria panapotokea matatizo, charge za kupaki/kutua katika viwanja vya ndege,kulipa mainjinia wa kuihudumia, n.k kamwe haviwezi kubebwa na mauzo ya ticket tu.

Wanaofanikiwa katika hii biashara hawategemei mauzo ya ticket tu vinginevyo mashirika mengi yasingekuwa yanatangaza hasara.

Pia, eleweni tu Bombardier zilizokuwa zinatumia hiyo route sasa zinakosa abiria na ni hasara kuzipaki kwa huo mwezi mzima.
 
Kunyanyua hilo dege from Dar na kutua KIA au MWZ ni matumizi mabaya ya resources; inabidi likageuzie South Sudan kuitafuta runway. Sio mchezo.
Tatizo nini wakati fidia iko kwenye bei ya Tiketi hata likigeuzia Ulaya kutua KIA au Mwanza wewe kinakuwasha nini kama cost zote ziko covered kwenye Tiketi mwehu Na msomi koko wewe .
 
Kunyanyua hilo dege from Dar na kutua KIA au MWZ ni matumizi mabaya ya resources; inabidi likageuzie South Sudan kuitafuta runway. Dude ambalo uwezo wake wa "wese" ni lita 126,210 yaani zile semi-trailer tanker za mafuta zinamimina mle 3 na bado halijai. Sio mchezo.
Kwa safari za Mwanza na KLM kabla halijafika kwenye Level yake kule Juu tayari
Mnaambiwa mmefika Chuma kama lile unaEnjoy masafa marefu
 
Hamuwezi kuendesha hili shirika kwa faida kwa kutegemea mauzo ya ticket tu hasa tukianza route za kimataifa.

Gharama za kuhudumia ndege, chakula kwa abiria, hoteli kwa abiria panapotokea matatizo, charge za kupaki/kutua katika viwanja vya ndege,kulipa mainjinia wa kuihudumia, n.k kamwe haviwezi kubebwa na mauzo ya ticket.

Wanaofanikiwa katika hii biashara hawategemei mauzo ya ticket tu vinginevyo mashirika mengi yasingekuwa yanatangaza hasara.

Pia eleweni tu Bombardier zilizokuwa zinatumia hiyo route sasa zinakosa abiria na ni hasara kuzipaki kwa huo mwezi mzima.
Wanategemea nini zaidi? Ni vyema unge dadavua.
 
Back
Top Bottom