Dress Code ya wanafunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma kwanini isiigwe?

Dress Code ya wanafunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma kwanini isiigwe?

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Mwaka jana nilimtimua ofisini binti wa field aliyekuja na sketi fupi iliyokuwa inabada mpaka mistari ya chupi zake zinaonekana. Nikamwambia akabadilishe ndio arudi ofisini.

Januari nilienda ofisi moja ya umma kufanya kazi, moja ya afisa aliyetuletea nyaraka alikuwa amevaa jinsi ya kubana mpaka unaona uvungu wa sehemu za siri. Nikamuita Afisa Utumishi achukue hatua stahiki. Akamtimua yule dada akaondoka kwa aibu.

Chanzo cha hayo yote ni wanafunzi wa vyuo kuachwa wavae wanavyoweza.

Kwa watumishi wa umma wana kanuni za mavazi. Yapo mavazi yanayoruhusiwa na yanayokatazwa. Lakini hata kwa private kuna staha za mavazi. Kama tumekubaliana na katazo la kuvaa hovyo maofisini kwa nini vyuo vyote visikataze mavazi ya hovyo? Kwa nini vyuo vingine visiige mfano wa vyuo vya Utumishi wa Umma, SAUT nk ambavyo wanafunzi wao wanavaa mavazi ya heshima na nadhifu?

Huwezi kukuta mwanafunzi wa Chuo cha Utumishi kuvaa kata kei ofisini
 
Binafsi suruali sivai kiunoni maana hainikai vizuri nikiishusha kimtindo ndio inakaa ila sio ile kata kund.u ya matako njee.

Mavyuoni binti wanavaa ovyo wakiwa mtaani sio venue au ofisi za chuo suma JKT wanakomaa sio powa.
 
Back
Top Bottom