Dressing code IFM balaaa.

Dressing code IFM balaaa.

Napata shaka umri wako ,utokako, umekuja mjini kwa shule ,umesoma boys,ujabahatika kuwa na mrembo wa maana,kwa sababu cioni shida kwa warembo wa ifm kuvaa hivo na inaonyesha kichwa chako kinawaza ngono mda wote embu jioni jioni kaa hapa garden ya jiji posta uone warembo walivovaa utaamini kuwa the whole society av been corrupted to this globalized world fanya yako kijana mjini ci kusoma tu ndiomaana pakaitwa daresalaaama piga book mengine fanya kama uyaoni vile
 
acha ukoloni wewe , unaenda kusoma ama unaenda kuangalia miguu ya mabinti? ..tamaa zitakuua na utaishia kwenda jela
 
jamani joto lote hili la hapa mjini mnataka watu wavae minguo mikubwa mikubwa kama tupo norway kipindi cha winter?
 
Napata shaka umri wako ,utokako, umekuja mjini kwa shule ,umesoma boys,ujabahatika kuwa na mrembo wa maana,kwa sababu cioni shida kwa warembo wa ifm kuvaa hivo na inaonyesha kichwa chako kinawaza ngono mda wote embu jioni jioni kaa hapa garden ya jiji posta uone warembo walivovaa utaamini kuwa the whole society av been corrupted to this globalized world fanya yako kijana mjini ci kusoma tu ndiomaana pakaitwa daresalaaama piga book mengine fanya kama uyaoni vile
 
Kuna haja ya Uongozi wa chuo kukemea vikali uvaaji mbovu wa mavazi,haswa hii jinsia ya kike mavazi wanayovaa ni balaa nusu uchi bila aibu wanaingia leacture theatres na wanafanya presentation kama kawa..hali hii si njema kabisa kwa maadili ya Taifa hili.
Naomba Mungu nimalize salama Programme yangu because vishawishi ni vingi kwa kweli!

Uongozi wa chuo cha IFM uige toka Tumaini Iringa na Ruco Iringa ....wanachuo wa vyuo hivi vya iringa hawaruhusiwi kuvaa suruali na sketi fupi zilizo juu ya magoti ...ukaguzi unafanyika getini kwa kila anayeingia chuoni
 
Hivi unatambua kwamba hiyo lugha ya kiingereza,unayopenda kuitumia hauimudu na inakushusha sana.Hacha mbwembwe bwana mdogo,kiswahili pia ufikisha ujumbe vizuri.

Nalitambua hilo bado niko kwenye practise mkuu,one day i will be perfect.
 
Umesomeka mkuu..learning is the long process i won't mistake it again.

You should have said: Learning is a long process. I Won't make that mistake again. Kiswakinge bawanaaaaaaaaaaa
 
Napata shaka umri wako ,utokako, umekuja mjini kwa shule ,umesoma boys,ujabahatika kuwa na mrembo wa maana,kwa sababu cioni shida kwa warembo wa ifm kuvaa hivo na inaonyesha kichwa chako kinawaza ngono mda wote embu jioni jioni kaa hapa garden ya jiji posta uone warembo walivovaa utaamini kuwa the whole society av been corrupted to this globalized world fanya yako kijana mjini ci kusoma tu ndiomaana pakaitwa daresalaaama piga book mengine fanya kama uyaoni vile

Upo sawa kwa kila kitu ila hapo uliposema nawaza ngono muda wote hujanitendea haki kabisa mkuu.
 
Kaka hapo mawazo yako ndo yatakuwa na matatizo...hiki ni taifa huru...mbona wamasai na wamangati wanaishi poa tu na uchiuchi?...kwa mtazamo wa kisayansi angalia viumbe wengine huwa wanajinsi ya kutengeneza mazingira ili jinsia tofauti ivutike...kwa milio au matendo fulani...Mungu hakukosea kuweka hivyo...tafsiri ya binadamu ndo tatizo...ondokana na mawazo mgando na funguka ndugu yangu

Kwa kweli mpaka leo sielewi hii tabia ya kusema mtu akivaa nguo kiana fulani anakwaza watu inatokea wapi. Wakti nakua mimi huko vijijini magauni yalikuwa yanavaliwa siku za sikukuu tu, tena kwa wenye uwezo. Akina mama siku zote walikuwa wanavaa kanga mbili tu, wawe shambani au safarini. Mabega yaliachwa wazi n.k. Lakini kila kitu kilienda sawa kabisa. Kulikuwa hakuna ubakaji na upigaji miluzi mwanamke akipita.
 
You should have said: Learning is a long process. I Won't make that mistake again. Kiswakinge bawanaaaaaaaaaaa

Hahaa naipenda sana Jamii Forums ndiyo maana sitaki kubanduka humu ndani,you guys are really good in challenging.
 
Jifunze tena vizuri hiyo lugha,jipe muda usiwe na haraka ya kutaka kuonekana unaimudu kumbe sivyo.

Sasa mkuu Kiingereza mtu unajifunza kimya kimya si lazima nifanye kama hivi navyofanya..mnanikosoa kidogo nabadilika then siku moja nitakuwa poa katika hii lugha,usinishambulie kihivyo bwana.
 
Napata shaka umri wako ,utokako, umekuja mjini kwa shule ,umesoma boys,ujabahatika kuwa na mrembo wa maana,kwa sababu cioni shida kwa warembo wa ifm kuvaa hivo na inaonyesha kichwa chako kinawaza ngono mda wote embu jioni jioni kaa hapa garden ya jiji posta uone warembo walivovaa utaamini kuwa the whole society av been corrupted to this globalized world fanya yako kijana mjini ci kusoma tu ndiomaana pakaitwa daresalaaama piga book mengine fanya kama uyaoni vile

Mkuu nina dukuduku na hivi vichache vifuatavyo.

1.Kuitwa Daresalaama hitokani na uvaaji wa nguo fupi.

2.Una wasiwasi kuhusiana na umri wangu kwamba Je mimi ni mtoto au ni mtu mzima..?

Funguka kwa hayo mambo mawili.
 
So having demu nowdays is the part of learning..how is dat possible mkuu.

Ulipokuwa Shule ya msingi na hata secondari ukimpa binti mimba au binti akipewa mimba anashitakiwa kwa mujibu wa sheria, lakini chuoni, mimba ni suala la kawaida kwa kuwa sheria inachukulia kuwa umeshakuwa mtu mzima na unaweza fanya maamuzi sahihi.

Maana yake ni kuwa shule za msingi na secondari ni masomo tu, lakini chuo ni masomo na sex life (preparations za maisha ya ndoa). Utafauruje mtihani bila kufanya mazoezi?

Play safe. Aids kills
 
Dah nimeipenda hii.
 
Ulipokuwa Shule ya msingi na hata secondari ukimpa binti mimba au binti akipewa mimba anashitakiwa kwa mujibu wa sheria, lakini chuoni, mimba ni suala la kawaida kwa kuwa sheria ,KIJANA MWISHO WA MAENDELEO YAKO YA MSULI NAUONA
 
Nalitambua hilo bado niko kwenye practise mkuu,one day i will be perfect.

What you are doing is the best way to catch up. Pia sio wazungu wote wanaongea/andika grammar to its perfection.
 
Ukitaka kuyashinda hayo,ukitoka lecture pitia library,ukichoka nenda room kalale. Usikae Screen Saver wala Airport. Ikifika Ijumaa km unaishi Dar nenda kwenu urudi juma2 usiku.

its a good idea!! but sometimea you as a man you must be being missing your fourth basic need!!!
 
Akina dada na akina mama tumezidi,siungi mkono vivazi vyetu visivyo tusitiri,tusisingizie Globalization.Hata akili zetu basi zimeshatekwa na utandawazi.Inasikitisha,tatizo liko hata kwenye nyumba za Ibada.Wanawake tubadilike tujiheshimu.Jiheshimu uheshimiwe.Haihitaji picha kulijadili hili.
 
Thumbs-up dada bora nawewe umeligundua hilo.
 
Back
Top Bottom