Kuna haja ya Uongozi wa chuo kukemea vikali uvaaji mbovu wa mavazi,haswa hii jinsia ya kike mavazi wanayovaa ni balaa nusu uchi bila aibu wanaingia leacture theatres na wanafanya presentation kama kawa..hali hii si njema kabisa kwa maadili ya Taifa hili.
Naomba Mungu nimalize salama Programme yangu because vishawishi ni vingi kwa kweli!
Umesomeka mkuu..learning is the long process i won't mistake it again.
Napata shaka umri wako ,utokako, umekuja mjini kwa shule ,umesoma boys,ujabahatika kuwa na mrembo wa maana,kwa sababu cioni shida kwa warembo wa ifm kuvaa hivo na inaonyesha kichwa chako kinawaza ngono mda wote embu jioni jioni kaa hapa garden ya jiji posta uone warembo walivovaa utaamini kuwa the whole society av been corrupted to this globalized world fanya yako kijana mjini ci kusoma tu ndiomaana pakaitwa daresalaaama piga book mengine fanya kama uyaoni vile
Kaka hapo mawazo yako ndo yatakuwa na matatizo...hiki ni taifa huru...mbona wamasai na wamangati wanaishi poa tu na uchiuchi?...kwa mtazamo wa kisayansi angalia viumbe wengine huwa wanajinsi ya kutengeneza mazingira ili jinsia tofauti ivutike...kwa milio au matendo fulani...Mungu hakukosea kuweka hivyo...tafsiri ya binadamu ndo tatizo...ondokana na mawazo mgando na funguka ndugu yangu
Jifunze tena vizuri hiyo lugha,jipe muda usiwe na haraka ya kutaka kuonekana unaimudu kumbe sivyo.
Napata shaka umri wako ,utokako, umekuja mjini kwa shule ,umesoma boys,ujabahatika kuwa na mrembo wa maana,kwa sababu cioni shida kwa warembo wa ifm kuvaa hivo na inaonyesha kichwa chako kinawaza ngono mda wote embu jioni jioni kaa hapa garden ya jiji posta uone warembo walivovaa utaamini kuwa the whole society av been corrupted to this globalized world fanya yako kijana mjini ci kusoma tu ndiomaana pakaitwa daresalaaama piga book mengine fanya kama uyaoni vile
So having demu nowdays is the part of learning..how is dat possible mkuu.
Ulipokuwa Shule ya msingi na hata secondari ukimpa binti mimba au binti akipewa mimba anashitakiwa kwa mujibu wa sheria, lakini chuoni, mimba ni suala la kawaida kwa kuwa sheria inachukulia kuwa umeshakuwa mtu mzima na unaweza fanya maamuzi sahihi.
Maana yake ni kuwa shule za msingi na secondari ni masomo tu, lakini chuo ni masomo na sex life (preparations za maisha ya ndoa). Utafauruje mtihani bila kufanya mazoezi?
Play safe. Aids kills
Ulipokuwa Shule ya msingi na hata secondari ukimpa binti mimba au binti akipewa mimba anashitakiwa kwa mujibu wa sheria, lakini chuoni, mimba ni suala la kawaida kwa kuwa sheria ,KIJANA MWISHO WA MAENDELEO YAKO YA MSULI NAUONA
Nalitambua hilo bado niko kwenye practise mkuu,one day i will be perfect.
Ukitaka kuyashinda hayo,ukitoka lecture pitia library,ukichoka nenda room kalale. Usikae Screen Saver wala Airport. Ikifika Ijumaa km unaishi Dar nenda kwenu urudi juma2 usiku.
Akina dada na akina mama tumezidi,siungi mkono vivazi vyetu visivyo tusitiri,tusisingizie Globalization.Hata akili zetu basi zimeshatekwa na utandawazi.Inasikitisha,tatizo liko hata kwenye nyumba za Ibada.Wanawake tubadilike tujiheshimu.Jiheshimu uheshimiwe.Haihitaji picha kulijadili hili.