Drip agriculture

Drip agriculture

pius maige

Member
Joined
Mar 2, 2012
Posts
57
Reaction score
8
Habar wana jf.

Neimekua nikitafta maarifa ya agribusiness kwa muda mrefu..nikakutana na greenhouse ambayo gharama zake ni ghari.

Nmekutana na hii Drip agriculture.

Gharama zake kwa heka moja ni zipi?
Mahitaji yake ni yapi?
Shamba lipo eneo kavu je kuna utaalam wa kisima waweza fanyika nipate maji mwaka mzima?

wazo ni kulima mbogamboga na matunda.
miaka 5 ijayo kua supplier wa mbogamboga,matunda na spices kwenye mahotel na retail.

Naomba msaada wenu kwa mwenye maarifa haya..

Shukran wakuu.
 
Mawazo mazuri, ngoja tusubiri mkuu na mimi naweza kujipatia faida hapa.
 
Kuna wataalamu kibao walijitokeza humu wanafanya kazi za kuchimba visima na wengine wanafunga hizo drip irrigation. Bahati mbaya natumia simu ningeku-direct kwenye hizo nyuzi.

Au unaweza kusearch "Kuchimba Kisima" na "Drip Irrigation" utapata majibu yote unayotaka
 
Habar wana jf.

Neimekua nikitafta maarifa ya agribusiness kwa muda mrefu..nikakutana na greenhouse ambayo gharama zake ni ghari.

Nmekutana na hii Drip agriculture.

Gharama zake kwa heka moja ni zipi?
Mahitaji yake ni yapi?
Shamba lipo eneo kavu je kuna utaalam wa kisima waweza fanyika nipate maji mwaka mzima?

wazo ni kulima mbogamboga na matunda.
miaka 5 ijayo kua supplier wa mbogamboga,matunda na spices kwenye mahotel na retail.

Naomba msaada wenu kwa mwenye maarifa haya..

Shukran wakuu.

Shamba lipo wapi mkuu? sisi tunachimba visima ila baadhi ya maeneo tu ndani ya tanzania.
 
Kahama shinyanga mkuu
Kiukweli mkuu hatujawahi fanya kazi huko ila tupo kwenye mchakato wa tenda ya kuchimba visima viwili pale wilaya ya chamwino dodoma kama tukifanikiwa kupata tutaongea kuona uwezekano wa kufika shinyanga, ila endelea kutafuta wachimbaji wengine ili uwe na option nyingi.
 
Habar wana jf.

Neimekua nikitafta maarifa ya agribusiness kwa muda mrefu..nikakutana na greenhouse ambayo gharama zake ni ghari.

Nmekutana na hii Drip agriculture.

Gharama zake kwa heka moja ni zipi?
Mahitaji yake ni yapi?
Shamba lipo eneo kavu je kuna utaalam wa kisima waweza fanyika nipate maji mwaka mzima?

wazo ni kulima mbogamboga na matunda.
miaka 5 ijayo kua supplier wa mbogamboga,matunda na spices kwenye mahotel na retail.

Naomba msaada wenu kwa mwenye maarifa haya..

Shukran wakuu.

Mkuu.. Pius, Kilimo cha umwagiliaji kwa matone(drip irrigation) kinawezekana tu kama unauhakika wa maji, maji sii lazima yawe ya kutoka kwenye kisima au bomba, unaweza tumia maji ya mto au bwawa vile vile pia, unachofanya ni kuya pima maji ili kufaham hali yake katika matumizi ya kilimo unachotaka kukifanya(ingawa hili wengi huwa wanakwepa), pia unafunga chujio la maji maana maji ya mtoni au bwawa mara nyingi yana vumbi na uchafu unaoweza kuziba drip lines, baada ya hapo unapump maji kwenda kwenye tank la maji ambalo umeliweka juu ili kutengeneza pressure ya kutosha kusukuma maji vizuri kwenye drip lines zote katika shamba lako.

Gharama za drip irrigation system zinategemeana na aina ya zao unalotaka kulima, chanzo cha maji kimekaa vipi, pia ni vizuri kutembelea shamba kwanza ili kufaham layout ya shamba lako.

Karibu kwa maelezo zaidi, sisi ofisi zetu ziko hapa Dodoma.
 
mawasiliano mkuu
 
Vipi Morogoro, mnaweza kuchimba visima pia? Bei zenu je?

Asante.
Morogoro tunachimba ila bei inakuwa mara mbili na bei ya dsm, dsm ni 60 elfu kwa mita ila morogoro hadi dodoma ni laki na 20 hadi laki na 40 kwa mita inategemea na miundo mbinu ya mahala husika.
Bei hii inajumuisha mobilization & demobilization, drilling down, upvc casing & annulus,pump test,pump supply & installation.
Ni hayo tu mkuu.
 
Mimi nina eneo mitaa ya Mwarusembe,Mkuranga Pwani na ningependa nipate gharama za uchimbaji kisima maeneo hayo. Pili ikiwa eneo halina maji matamu kuna utaalamu wa kuyabadili yawe matamu na kuweza kufaa kwa kilimo na matumizi ya nyumbani?
 
Unaulizia drip irrigation system au uchimbaji wa kisima?

Lengo kuu ni drip irrigation..bt eneo hakuna maji..ndio lengo la kuomba msaada huu..je kuchimba kisima kutakidhi mahitaji ya drip irrigation mwaka mzima?

Wataalam wa mambo haya please
 
Samahani kwa kuchelewa kujibu. Ni hivi bei ya huko pwani ,kuchimba kwa mita ni 80 elfu mpaka laki 1 , na kuhusu chumvii zipo filtration machines ambazo huchuja chumvi unaweza kufunga.

Mimi nina eneo mitaa ya Mwarusembe,Mkuranga Pwani na ningependa nipate gharama za uchimbaji kisima maeneo hayo. Pili ikiwa eneo halina maji matamu kuna utaalamu wa kuyabadili yawe matamu na kuweza kufaa kwa kilimo na matumizi ya nyumbani?
 
Lengo kuu ni drip irrigation..bt eneo hakuna maji..ndio lengo la kuomba msaada huu..je kuchimba kisima kutakidhi mahitaji ya drip irrigation mwaka mzima?

Wataalam wa mambo haya please

Maji yanayoaminika duniani ni underground water hivyo kama utafanya survey kupitia surveyor anaeaminika uyapata maji sio mwaka tu bali miaka.
 
Mimi iko na rafiki yangu nauza green houses, chicken houses and drip irrigation systems pigia simu yake 0714033664, or 0784713486.
 
Back
Top Bottom