Drone za Ukraine zaanza kujongea Moscow, anga ya Urusi wazi bila ulinzi

Urusi atumie nyukilia tu,ndo MSAADA naweza mpatia
 
Hivi muuwaji PUTIN ataishi milele kweli . Siku akifa nalala bar .
 
Maana yake chochote kinachopita angani kitashushwa, ndio maana hizo drone zimeshushwa bila kupiga target walizo kusudia hao wa Ukraine
Hazikuwa "tactical drones" zilikuwa surveillance drones
 
Hapo naanza kufurahi! Haiwezekani wewe unachapwa kwenu, ati usimtandike kwake ukaharibu hata glass kwake
Maajabu kabisa haya, Ukraine miundombinu mingi imeharibiwa, askar wengi wamekufa, raia wengi wamekufa sasa nilikuwa najiuliza wanasubir nn kupenya kwenye ardhi ya Russia maana sioni walichobakiza otherwise labda kama wanaheshim Sheria za kimataifa ili huko mbeleni waje wajitetee kwamba sisi tulikuwa tunapigana ktk ardhi yetu na kamwe hatukuwahi kurusha hata jiwe Russia ila huo ni upumbavu pia.
 
Hamna duru zilizo huru zinazoweza kuthibitisha madai ya Russia kwamba wametungua drones zote kwani Russia ndio nchi inayoongoza kwa propaganda duniani toka zama za dikteta Vladimir Lenin.
Zilipiga miscow ya wapi sasa hehheh tuakili twa nyongeza tuna kazi sana
 
Kufunga anga ni onyo, maana yake ni kuwa hairuhusiwi ndege ya aina yoyote kuruka kwenye anga iliyofungwa.
Nilikuwa namwambia huyo jamaa anayesema kama mifumo iko sawa kufunga anga kwanini?

Jibu anga hufungwa pia na hiyo hiyo mifumo anayodhani haipo sawa
 
Urusi iko wazi sana ni vile NATO bado hawajaamua tu, kiwanja cha ndege cha kijeshi karibun kilichomwa moto kuonyeshwa tu
 
Urusi iko wazi sana ni vile NATO bado hawajaamua tu, kiwanja cha ndege cha kijeshi karibun kilichomwa moto kuonyeshwa tu
Hakuna air defence dunia itakayokuwa perfect 100% km umesikia jn huko israel mnayoisifia ina defence nzuri imezuia makombora lakini mengine yamepenya au usa ameweka ulizi wake saudi arabia lakini drone za houthi zimepenya kwahyo kusema drone zimeingia russia sioni cha ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…