Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu US asipopeleka majeshi yake yale mafuta yanachotwa na contractors wake kule Iraq yatakua yanachotwa na hizo drones mzee baba?
Hahah kuna ukweli kwny hili mkuuSasa ivi A/mashariki tunacheza na siasa na wanasiasa ivyo vitu ni vya nchi za dunia ya kwanza ambao hao ndio wanaishi karne 21. Sisi wa dunia ya 3 badi tupo karne 18, huoni hata style ya uwendeshaji wa nchi hizi bado ziko katika vita ya seriali na mpinzani
Daah hivyo ndio vichwa vya ku-retain sasa kwa karne hii mkuu sema ndio hivyo tena......hatuwezi kufika huko kwa sababu majeshi yetu wanaamini katika nguvu sio akili,kuna jamaa aliojiwa pale TBC1 aliweza kutengeneza mifumo mbalimbali ya gari ikiwemo kifaa cha kuwasha gari bila kuigusa, kifaa cha ku lock gari na alarm yake, kifaa cha kutambua gari ipo wapi nk na ana ndoto za kuingia jeshini alidai anaweza kuunda vitu vingi sana
Drones hizo zinaweza kuzifanya silaha zako sikuuwe mwenyewe..misile ni habari nyingine mkuu hako ka drone ni cha mtoto tu kwa Missile maana missile zinauwezo wa kulipua mfano Africa nzima at once,zile Missile ambazo trump anatembea na briefcase yenye codes sio za kulinganisha na drones ndio maana korea unamuona kim anahangaika na missile sio drone kwanza vi drones havina speed havifai kwa vita hivyo,missile inasafiri haraka sana
..halafu wanao-operate hizo drones unaweza kukuta ni watoto mayai, ila wana uwezo wa kukaa mbele ya monitor 12 to 16 hours with maximum concentration. kwa maneno mengine uwepo wa drones umebadilisha kwa namna ya kipekee maana ya kuwa askari.[emoji1787]
Not many years to come, Turkey is going to be one of the Super PowersIla kwa sasa Uturuki wako vizuri sana kwenye hii sekta ya drone maana hivi vidude vimeichakaza Armenia hana hamu kabisa.
Unaiongeleaje MQ9- Reaper ya U.S.AVita vya kisasa vinahusisha zaidi ya technologia ya Hali ya juu, yenye lengo la kupunguza gharama na kuongeza ufanisi.
Kwenye uwanja wa Vita drones zimekua zikifanya Mambo ambayo pengine kwa Vita ya zamani kwa Sasa kutokuwa nafasi.
Vita ya zamani watu walikua wanajificha kwenye mifereji na kwenye nyasi, au comouflage blankets but kwa Sasa kufanya hivyo Ni utopolo kutokana na ukweli kwamba drones na ndege Vita zinathermal sensors ambazo zinaweza detect joto mwili hivyo kuweza kumuona mtu popote alipo.
Kwa Sasa mbabe wa drones Ni Uturuki anayetumia drones zinazoitwa Byraktar Tb2.
View attachment 1624279
Sekeseke la drones hizi wameshazipata Syria na Sasa Armenia.

Zilikuwa vurugu mkuu,siku hizi hakuna vita, vita zilikuwa ni ww1 na 2 basi. mjerumani alitengeneza u-bot na vifaru vya hatari zile ndizo vita sasa acha hizi za sasa mnzoita vita eti ndege hazina rubani,mjapan aliunda jeshi la kujitoa muhanga la ma pilot walikuwa wanarusha ndege then wanaidondosha kwenye meli vita ya maadui
hizi za sasa ni utopolo sio vita, akifufuka Hitler aambiwe hizi drone ni vifaa hatari vya kivita hatowaelewa kabisa wakati yeye alitengeneza mabomo mazito mpaka yanashindwa kuruka yanatua chini yanauwa waliotengeneza
CCM ipo ya kupigia picha mikutanoUturuki alimtesa hata Russia kule Syria na hizo drones.
Hivi hapa A/Mashariki kuna nchi zinajua kucheza na hayo madude.?
Vita vya kisasa vinahusisha zaidi ya technologia ya Hali ya juu, yenye lengo la kupunguza gharama na kuongeza ufanisi.
Kwenye uwanja wa Vita drones zimekua zikifanya Mambo ambayo pengine kwa Vita ya zamani kwa Sasa kutokuwa nafasi.
Vita ya zamani watu walikua wanajificha kwenye mifereji na kwenye nyasi, au comouflage blankets but kwa Sasa kufanya hivyo Ni utopolo kutokana na ukweli kwamba drones na ndege Vita zinathermal sensors ambazo zinaweza detect joto mwili hivyo kuweza kumuona mtu popote alipo.
Kwa Sasa mbabe wa drones Ni Uturuki anayetumia drones zinazoitwa Byraktar Tb2.
View attachment 1624279
Sekeseke la drones hizi wameshazipata Syria na Sasa Armenia.

Maelfu
[emoji16][emoji16] can't u see any difference?siku hizi hakuna vita, vita zilikuwa ni ww1 na 2 basi. mjerumani alitengeneza u-bot na vifaru vya hatari zile ndizo vita sasa acha hizi za sasa mnzoita vita eti ndege hazina rubani,mjapan aliunda jeshi la kujitoa muhanga la ma pilot walikuwa wanarusha ndege then wanaidondosha kwenye meli vita ya maadui
hizi za sasa ni utopolo sio vita, akifufuka Hitler aambiwe hizi drone ni vifaa hatari vya kivita hatowaelewa kabisa wakati yeye alitengeneza mabomo mazito mpaka yanashindwa kuruka yanatua chini yanauwa waliotengeneza
Tz bado tuko busy kufanya mazoezi ya kuvunja tofali kwa mikono, kutambaa kwenye matope, kuvaa majani ili kujificha kwenye vichaka nk.Huenda hata Tz zipo...tena inabidi tuzitumie huko Msumbiji.
Millitary is not only about Physical Fit,..halafu wanao-operate hizo drones unaweza kukuta ni watoto mayai, ila wana uwezo wa kukaa mbele ya monitor 12 to 16 hours with maximum concentration. kwa maneno mengine uwepo wa drones umebadilisha kwa namna ya kipekee maana ya kuwa askari.[emoji1787]
Vita siyo kati ya Uturuki na Armenia bali ni kati ya Azebaijan na Armenia, Uturuki ni mshirika tu.Mkuu naomba nifafanulie kidogo kuhusu hii vita ya Turkey na Armenia ni juu ya nini hasa? RTI