Drones ni game changer kwenye vita

Drones ni game changer kwenye vita

Drones are not always practical katika uwanja wa vita. Ndege hizi zisizo na rubani zinatumia remote controlled mechanism kuweza kuziongoza. Ila technology ya air defense ilipofikia, ni rahisi sana kuingilia mawasiliano kati ya drone na kituo vha kuziongoza. Pia unaweza kujam mawasiliano kwa kutumia EMP (ELECTRO MAGNETIC PULSE) zikawa zinadondoka tu zikifika kwenye anga lako.

Mu Iran alishawahi kuingilia mawasiliano ya drone ya kimarekani na kuicontrol kutua katika nchi yake...akaiba technology akaunda zake.
Ndo mpaka uwe umejiandaa kwa hiyo technologia ya kuzidondosha..Kama huna ujue itakuala kwako pakubw sana...coz kijamaa kinafumua Hadi mahandaki
 
Hivi vidude vitakuja kufanya vita ziwe ngumu sana. Maana kwanza havionwi na rada za kawaida za ndege kwahiyo kuvifanya viweze kupenya ndani kabisa ya ngome za maadui na kuleta madhara makubwa. Na kadri teknolojia inavyoboreka ina maana vitazidi kuwa vidogo na bora zaidi kiasi kwamba itakua impossible kuvi detect na kujilinda dhidi yake. Huku tunakoenda itafika mahali nchi inakua na jeshi la drones tu ambalo linatumwa kwenda kushambulia na kurudi.
Hiyo vita haiwezekani unless kama hawajali raia wanalipua tu. Ingekuwa inawezekana kulikuwa hakuna haja ya Mmarekani kupeleka jeshi Afghanistan wa Iraq, angetumia ndege za mashambulizi tu na long range missiles.
 
Halafu US asipopeleka majeshi yake yale mafuta yanachotwa na contractors wake kule Iraq yatakua yanachotwa na hizo drones mzee baba?
 
Halafu US asipopeleka majeshi yake yale mafuta yanachotwa na contractors wake kule Iraq yatakua yanachotwa na hizo drones mzee baba?
Siyo kwasababu ya mafuta tu, lazima pia yawepo majeshi ya ardhini hata kama anapigana vita isiyo husisha kuiba mafuta. Unless awe hajali analipua tu na raia humo humo.
 
Mpk sasa Hakunaga subsitute ya infantry hio inajulikana.,lkn hizo drones za Turkey zimeua mamia ya wanajeshi wa ardhini wa Armenia.

Hatari sana.
Siyo kwasababu ya mafuta tu, lazima pia yawepo majeshi ya ardhini hata kama anapigana vita isiyo husisha kuiba mafuta. Unless awe hajali analipua tu na raia humo humo.
 
Hivi vidude vitakuja kufanya vita ziwe ngumu sana. Maana kwanza havionwi na rada za kawaida za ndege kwahiyo kuvifanya viweze kupenya ndani kabisa ya ngome za maadui na kuleta madhara makubwa. Na kadri teknolojia inavyoboreka ina maana vitazidi kuwa vidogo na bora zaidi kiasi kwamba itakua impossible kuvi detect na kujilinda dhidi yake. Huku tunakoenda itafika mahali nchi inakua na jeshi la drones tu ambalo linatumwa kwenda kushambulia na kurudi.
Kuna video niliona jamaa wameshika pad tu mbele kuna monitor anatwanga tu watu na drone yenye bunduki yaani faster tu.
 
Uturuki alimtesa hata Russia kule Syria na hizo drones.

Hivi hapa A/Mashariki kuna nchi zinajua kucheza na hayo madude.?
Sasa ivi A/mashariki tunacheza na siasa na wanasiasa ivyo vitu ni vya nchi za dunia ya kwanza ambao hao ndio wanaishi karne 21. Sisi wa dunia ya 3 badi tupo karne 18, huoni hata style ya uwendeshaji wa nchi hizi bado ziko katika vita ya seriali na mpinzani
 
hivi vidubwana hatari sana kwa afya...kiko zake anga ya 5 huko na kina kudungua vzr tuu bila mboyoyo mingi...😄 shikamoo tekinolojia...🙌😂😂😂
 
Juz wkt presidaa alikuwa anakula kiapo mara likapita jeshi la jw kutoa salute zao

Nyuma yao wakawa wanafuatiwa ma majeda wawili waliobeba mibegi mikubwa pomoja na bendera

Wakati naangalia vizuri nikaona amechomeka rungu mithili ya lile la kipepe

Sasa hizi drone na wakwetu wanaobeba marungu sijui hali ipoje
 
siku hizi hakuna vita, vita zilikuwa ni ww1 na 2 basi. mjerumani alitengeneza u-bot na vifaru vya hatari zile ndizo vita sasa acha hizi za sasa mnzoita vita eti ndege hazina rubani,mjapan aliunda jeshi la kujitoa muhanga la ma pilot walikuwa wanarusha ndege then wanaidondosha kwenye meli vita ya maadui
hizi za sasa ni utopolo sio vita, akifufuka Hitler aambiwe hizi drone ni vifaa hatari vya kivita hatowaelewa kabisa wakati yeye alitengeneza mabomo mazito mpaka yanashindwa kuruka yanatua chini yanauwa waliotengeneza
 
Uturuki alimtesa hata Russia kule Syria na hizo drones.

Hivi hapa A/Mashariki kuna nchi zinajua kucheza na hayo madude.?

hatuwezi kufika huko kwa sababu majeshi yetu wanaamini katika nguvu sio akili,kuna jamaa aliojiwa pale TBC1 aliweza kutengeneza mifumo mbalimbali ya gari ikiwemo kifaa cha kuwasha gari bila kuigusa, kifaa cha ku lock gari na alarm yake, kifaa cha kutambua gari ipo wapi nk na ana ndoto za kuingia jeshini alidai anaweza kuunda vitu vingi sana
 
Hivi vidude vitakuja kufanya vita ziwe ngumu sana. Maana kwanza havionwi na rada za kawaida za ndege kwahiyo kuvifanya viweze kupenya ndani kabisa ya ngome za maadui na kuleta madhara makubwa. Na kadri teknolojia inavyoboreka ina maana vitazidi kuwa vidogo na bora zaidi kiasi kwamba itakua impossible kuvi detect na kujilinda dhidi yake. Huku tunakoenda itafika mahali nchi inakua na jeshi la drones tu ambalo linatumwa kwenda kushambulia na kurudi.

mkuu zipo radar zinazo detect drones, ndege pekee ambayo ni vigumu kui detect kwa radar ni zile ndege vita za marekani zenye kufanana na bundi sijui zinaitwaje nimesahau, zile Historia inazitaja kuwa ndege vita hatari zaidi duniani
marekani wana teknolojia nyingi sana ambazo zinaweza kudhibiti hivi vi drones moja wapo ni ile inatoa wanaziita flies sjui,yani likitumwa kombora hivo vijitu vinarushwa angani vinaenda kulilipua hilo kombora kabla halijafika au hata kulipotezea muelekeo hii teknolojia ipo kwenye submarines za US na ndege za rais
 
Mambo ya kuwa na misile launcher na vifaru vingi imepitwa na wakati...hicho kijamaa kimamaliza almost hifadhi yote ya silaa na kumaliza almost wajeda wote wa Armenia.

misile ni habari nyingine mkuu hako ka drone ni cha mtoto tu kwa Missile maana missile zinauwezo wa kulipua mfano Africa nzima at once,zile Missile ambazo trump anatembea na briefcase yenye codes sio za kulinganisha na drones ndio maana korea unamuona kim anahangaika na missile sio drone kwanza vi drones havina speed havifai kwa vita hivyo,missile inasafiri haraka sana
 
Back
Top Bottom