Drones are not always practical katika uwanja wa vita. Ndege hizi zisizo na rubani zinatumia remote controlled mechanism kuweza kuziongoza. Ila technology ya air defense ilipofikia, ni rahisi sana kuingilia mawasiliano kati ya drone na kituo vha kuziongoza. Pia unaweza kujam mawasiliano kwa kutumia EMP (ELECTRO MAGNETIC PULSE) zikawa zinadondoka tu zikifika kwenye anga lako.
Mu Iran alishawahi kuingilia mawasiliano ya drone ya kimarekani na kuicontrol kutua katika nchi yake...akaiba technology akaunda zake.