Drones tiza za Iran zapigwa chini Ukraine, Mrusi bado haamini ameishiwa kete

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mrusi bao anajaribisha bahati, hizi drones zimeishiwa umuhimu wake, wataalam walishazisoma na kuja na mbinu za kuzishusha....zimepigwa tisa...takbir

Nine Iranian-made Shahed drones were shot down early on Monday in Kyiv's airspace in the latest attack by Russia on the city, the capital's military administration said on the Telegram messaging app.

Several blasts were heard in the city and in the region surrounding the capital, Reuters witnesses reported.

"The enemy is attacking the capital with 'Shahed' barrage ammunition," the administration said on the Telegram messaging app.

Read more at: Nine drones shot down in Kyiv's airspace: Military
 
6CB3F107-8D32-4C28-812A-E3A456B4FD4A.jpeg

Hata sisi tunaifiatilia hii vita kwenye fronts zote. Hatuokoti okoti vitu kwa mihemko.

Kherson leo wameokota mvua ya mashambulizi lakini siyo habari kwako.

Slow process ya hii vita italeta majibu, Milipuko kadhaa imesikia Kiev leo na Meya ameconfirm lakin siyo News kwako.

Tuendelee tu nyama tutazikuta chini.

TUMEKUBALIANA OFFENSIVE KHERSON IMEISHIA MTONI.
 
Hehehe hao hao reuters huwa mnasema ni mapropaganda, leo mumekaa mnasubiri wafanye verification, maustadhi huwa mnachekesha sana.

Ukraine updates: Kyiv takes fire from drone attacks​

Story by dw.com • 5h ago
Kyiv has reported another night of air alarms and said it has shot down several drones. The UK is set to announce plans to sending munitions through 2023. DW has the latest.
People in Kyiv were once again told to find shelter amid overnight strikes on the city
People in Kyiv were once again told to find shelter amid overnight strikes on the city© Viacheslav Ratynskyi/REUTERS

The Ukrainian capital Kyiv was targeted once again by so-called "kamikaze" drones on Monday morning, the city's military administration said on Telegram.
An alert was first declared in the middle of the night. Several hours later it was still in effect.
"The enemy is attacking the capital with 'Shahed' barrage ammunition," the Kyiv military administration wrote. "The air defense is working."
Authorities also said that nine of the Iranian-made drones had been shot down. It was not clear how many had gotten past the air defense systems.
A witness in the city told Reuters that they had heard loud blasts during the early hours, but it was not clear if this came from strikes landing or from air defenses downing the drones.
Here are the other main headlines from the war in Ukraine on Sunday December 19.

Related video: 5 buildings damaged in Russian drone strike on Kyiv, Ukrainian officials say (cbc.ca)

5 buildings damaged in Russian drone strike on Kyiv, Ukrainian officials say

UK PM to announce further arms deliveries to Ukraine​

British Prime Minister Rishi Sunak is set to announce a new package of "hundreds of thousands of rounds of artillery ammunition," according to a statement released ahead of a meeting later on Monday.
Sunak will take part in a meeting with his Baltic, Nordic and Dutch counterparts in Riga.
London aims to keep up its delivery of ammunition with a £250 million ($304 million, €287 million) contract "that will ensure a constant flow of critical artillery ammunition to Ukraine throughout 2023."
The statement from the prime minister's office also said that Sunak will call on the UK's allies to maintain or surpass the level of military aid to Ukraine next year.

Putin to visit key ally Lukashenko in Belarus​

Russian President Vladimir Putin is set to make his first visit to Belarus since 2019 on Monday.
He will meet with his close ally, strongman Alexander Lukashenko. They are set to discuss their strategic partnership as well as regional and international issues.
Lukashenko, who held onto power following what is widely seen as a fraudulent election in 2020, is reliant on financial support from Putin.
Belarus in return allowed Russian troops to use its land as a launch pad during its initial invasion of Ukraine in February, although the former Soviet state has not joined the conflict.
ab/ar (AP, AFP, dpa, Reuters)

1671443426203.png

View attachment 2451712

Hata sisi tunaifiatilia hii vita kwenye fronts zote. Hatuokoti okoti vitu kwa mihemko.

Kherson leo wameokota mvua ya mashambulizi lakini siyo habari kwako.

Slow process ya hii vita italeta majibu, Milipuko kadhaa imesikia Kiev leo na Meya ameconfirm lakin siyo News kwako.

Tuendelee tu nyama tutazikuta chini.

TUMEKUBALIANA OFFENSIVE KHERSON IMEISHIA MTONI.

Utaokota mapicha ila hii mliita operation ilishawatokea puani, kainchi kadogo katesa liinchi lote hilo mpaka linaokota wapiganaji kutokea gerezani na mitaani maana jeshi rasmi limefyekwa...takbir akbar akbar
 
Drone ya $ 2000 unadunguliwa na missile ya $10,000. Hiyo ni sababu kubwa kwann Russia anaendelea kuzitumia. Anamiliki Mamia ya Drones na bado amepata kibari cha kuziunda kwake. Akituma 70 zikadunguliwa 60 Kumi zinapiga target. Fanya mahesabu nani ana hasara. Ndio maana umeambiwa Mataifa ya Ulaya yamegundua hili. Wanatuma Patriot zilizotumika Israel wakati wa Vita ya Ghuba ya uajemi. Zilikuwa hazikufanya vizuri kupangua makombora ya Scud ya Saddam Hussein wa Iraq. Ni cheaper walau zitatumika ktk hizi Drones za Bei ndogo na hatari.
 
unapoingiza masuala ya imani na kiMungu huwa nashindwa kuendelea na wewe
 
Wanatumia missile za $1,000,000 kutungua drone ya $ 20,000 na ndio puttin anachotaka kuwatia hasara
 
Mrusi bao anajaribisha bahati, hizi drones zimeishiwa umuhimu wake, wataalam walishazisoma na kuja na mbinu za kuzishusha....zimepigwa tisa...takbir

Nine Iranian-made Shahed drones were shot down early on Monday in Kyiv's airspace in the latest attack by Russia on the city, the capital's military administration said on the Telegram messaging app.

Several blasts were heard in the city and in the region surrounding the capital, Reuters witnesses reported.

"The enemy is attacking the capital with 'Shahed' barrage ammunition," the administration said on the Telegram messaging app.

Read more at: Nine drones shot down in Kyiv's airspace: Military
Je umesoma habari yote au unaamua kuchagua kinachofurahisha moyo wako hata kama ni uongo? Kila mara ukraine hudai kutungua drones zote au makombora yote kasoro MATANO!! Kisha inasema "sehemu muhimu?critical infrastructure zimeharibiwa na kusababisha umeme kukatwa na maji kukatwa!! Sasa mwenye akili yake timamu atajiuliza hizo "critical infrastructure" kwa nini ziharibiwe kila uchao kama una uwezo wa kudodosha drones na missiles za adui??
Swali la pili mla kujiuliza ni kwa nini kila siku kilio cha Zelensky ni kutaka kupewa air defense nzuri zaidi hususan Patriot air defense?
Swali la tatu inakuweje kila mara watungue zote kasoro tano, kitu ambacho kiuhalisia haiwezekani kila mara zisizotunguliwa ziwe tano na zisiongezeke wala zisipungue!! Ujue hapo ni fix ya mwaka anayeweza kuamini ni mtu mwenye akili kama MK 254 tu!!
Ona taarifa hii ya BBC:

Ukraine war: Overnight strikes hit Kyiv as Putin visits Belarus​

Share
Related Topics
Local residents gather near a residential building as a critical power infrastructure object burns after a Russian drone attack, amid Russia's attack on Ukraine, in Kyiv, Ukraine December 19, 2022.
IMAGE SOURCE,REUTERS
Image caption,
Some missiles hit critical power infrastructure, causing a blackout across the city
By Tiffany Wertheimer in London & Hugo Bachega in Kyiv
BBC News

Ukraine's capital Kyiv has been rocked by explosions as Russia launched a rare overnight attack on the city.
No-one was killed and most of the missiles were shot down, Ukrainian officials said, but some did hit "critical infrastructure", causing a blackout across the region.
The attack occurred before Russia's President Vladimir Putin arrived in Belarus to meet Alexander Lukashenko.
Ukraine has warned that Russia may be preparing a new attack from Belarus.

This latest barrage of missile attacks from Russia is the third in five days - however night time raids on the capital, Kyiv, are unusual.
Twenty-three Iranian missiles were launched, of which 18 were shot down, the head of Kyiv's military administration, Serhiy Popko said.

Pictures online show firefighters at a large blaze at a power plant.
Only two people were injured, authorities reported - a very low number considering many people would have been asleep at the time of the strikes on civilian areas.
Kyiv's Mayor Vitaliy Klitschko wrote on Telegram that "critical infrastructure facilities were damaged" and that engineers were working to restore power.

Taarifa iliyotolewa CNN hii hapa:

Russian drones attack Kyiv as Moscow takes another swipe at Ukraine’s power grid​

From CNN's Maria Kostenko, Rob Picheta and Seb Shukla

At least two people were hurt and key infrastructure has been damaged in a Russian drone assault on the Ukrainian capital Kyiv, the latest attempt by Moscow to ravage Ukraine’s power supplies.
Explosions and air raid sirens were heard around the city early Monday, with alerts sounding from 2 a.m. until after 5 a.m. local time.
The Ukrainian Air Force claimed to have shot down 30 out of 35 drones launched from Sunday night into Monday, but those that got around air defenses damaged power systems and civilian targets.

Taarifa iliyotolewa Al Jazeera hii hapa:

Russia drone attack targets ‘critical infrastructure’ in Kyiv​

Ukraine’s military says about 20 unmanned aerial vehicles targeted facilities around the capital.

Published On 19 Dec 202219 Dec 2022
Ukraine’s capital has been targeted by a wave of drone attacks by Russia’s military that again struck “critical infrastructure”.
About 20 drones were deployed to Kyiv and the surrounding area early Monday, according to officials, with air defence systems destroying about 15 of the unmanned aerial vehicles.

Sehemu zilizokolezewa wino zinaonesha kila mara mtoa taarifa hudai drones zilitunguliwa isipokuwa tano!! Lakini kila mmoja hukiri kuwa uharibifu mkubwa umetokea kwenye sehemu muhimu!!/critical infrastructure destroyed!! Kwa hiyo wanakiri lengo la mshambuliaji lilifanikiwa na lengo la kujilinda halikufanikiwa!! Maana kama ukilinda nyumba mwisho wa siku unasema ilivunjwa, hata kama ukisema mishale kumi niliikwepa haisaidii kitu!!!

MK 254 jibu: Why this consistence in the number of undestroyed drones or missiles always 5!!! Kama anaweza kulilinda anga lake kwa nini bado analilia air defenses nzuri zaidi??
 
Je umesoma habari yote au unaamua kuchagua kinachofurahisha moyo wako hata kama ni uongo? Kila mara ukraine hudai kutungua drones zote au makombora yote kasoro MATANO!! Kisha inasema "sehemu muhimu?critical infrastructure zimeharibiwa na kusababisha umeme kukatwa na maji kukatwa!! Sasa mwenye akili yake timamu atajiuliza hizo "critical infrastructure" kwa nini ziharibiwe kila uchao kama una uwezo wa kudodosha drones na missiles za adui??
Swali la pili mla kujiuliza ni kwa nini kila siku kilio cha Zelensky ni kutaka kupewa air defense nzuri zaidi hususan Patriot air defense?
Swali la tatu inakuweje kila mara watungue zote kasoro tano, kitu ambacho kiuhalisia haiwezekani kila mara zisizotunguliwa ziwe tano na zisiongezeke wala zisipungue!! Ujue hapo ni fix ya mwaka anayeweza kuamini ni mtu mwenye akili kama MK 254 tu!!
Ona taarifa hii ya BBC:

Ukraine war: Overnight strikes hit Kyiv as Putin visits Belarus​

Share
Related Topics
Local residents gather near a residential building as a critical power infrastructure object burns after a Russian drone attack, amid Russia's attack on Ukraine, in Kyiv, Ukraine December 19, 2022.'s attack on Ukraine, in Kyiv, Ukraine December 19, 2022.
IMAGE SOURCE,REUTERS
Image caption,
Some missiles hit critical power infrastructure, causing a blackout across the city
By Tiffany Wertheimer in London & Hugo Bachega in Kyiv
BBC News

Ukraine's capital Kyiv has been rocked by explosions as Russia launched a rare overnight attack on the city.
No-one was killed and most of the missiles were shot down, Ukrainian officials said, but some did hit "critical infrastructure", causing a blackout across the region.
The attack occurred before Russia's President Vladimir Putin arrived in Belarus to meet Alexander Lukashenko.
Ukraine has warned that Russia may be preparing a new attack from Belarus.

This latest barrage of missile attacks from Russia is the third in five days - however night time raids on the capital, Kyiv, are unusual.
Twenty-three Iranian missiles were launched, of which 18 were shot down, the head of Kyiv's military administration, Serhiy Popko said.

Pictures online show firefighters at a large blaze at a power plant.
Only two people were injured, authorities reported - a very low number considering many people would have been asleep at the time of the strikes on civilian areas.
Kyiv's Mayor Vitaliy Klitschko wrote on Telegram that "critical infrastructure facilities were damaged" and that engineers were working to restore power.

Taarifa iliyotolewa CNN hii hapa:

Russian drones attack Kyiv as Moscow takes another swipe at Ukraine’s power grid​

From CNN's Maria Kostenko, Rob Picheta and Seb Shukla

At least two people were hurt and key infrastructure has been damaged in a Russian drone assault on the Ukrainian capital Kyiv, the latest attempt by Moscow to ravage Ukraine’s power supplies.
Explosions and air raid sirens were heard around the city early Monday, with alerts sounding from 2 a.m. until after 5 a.m. local time.
The Ukrainian Air Force claimed to have shot down 30 out of 35 drones launched from Sunday night into Monday, but those that got around air defenses damaged power systems and civilian targets.

Taarifa iliyotolewa Al Jazeera hii hapa:

Russia drone attack targets ‘critical infrastructure’ in Kyiv​

Ukraine’s military says about 20 unmanned aerial vehicles targeted facilities around the capital.

Published On 19 Dec 202219 Dec 2022
Ukraine’s capital has been targeted by a wave of drone attacks by Russia’s military that again struck “critical infrastructure”.
About 20 drones were deployed to Kyiv and the surrounding area early Monday, according to officials, with air defence systems destroying about 15 of the unmanned aerial vehicles.

Sehemu zilizokolezewa wino zinaonesha kila mara mtoa taarifa hudai drones zilitunguliwa isipokuwa tano!! Lakini kila mmoja hukiri kuwa uharibifu mkubwa umetokea kwenye sehemu muhimu!!/critical infrastructure destroyed!! Kwa hiyo wanakiri lengo la mshambuliaji lilifanikiwa na lengo la kujilinda halikufanikiwa!! Maana kama ukilinda nyumba mwisho wa siku unasema ilivunjwa, hata kama ukisema mishale kumi niliikwepa haisaidii kitu!!!

MK 254 jibu: Why this consistence in the number of undestroyed drones or missiles always 5!!! Kama anaweza kulilinda anga lake kwa nini bado analilia air defenses nzuri zaidi??

Wewe macho yako huona five, juzi alizipiga 14, kisha akapiga 9 anaendelea kuzishusha, kwa taarifa yako Putin ameanza kulia lia Putin kwa mara ya kwanza alia hali ilivyo ngumu kwenye uwanja wa mapambano huko Ukraine
 
unapoingiza masuala ya imani na kiMungu huwa nashindwa kuendelea na wewe
Safi, huyo shetani ni wa kumkalia mbali............hana anachokifanya humu bali kujaribu kukera watu fulani ndiyo lengo Lake. Na shari zake hizi zimeongezeka zaidi baada ya Qatar kufanikiwa kuzima jaribio lao la ushoga.......wamekuwa na hasira kwelikweli.
 
Hehehe ustadhi mwingine, Qatar na ushoga vinahusianaje na huu uzi, hivi mbona maustadhi mnapenda kuongelea mambo ya ushoga, au kwa vile ndio tabia zenu kule Pwani, Pemba hadi Mombasa maana huko ndiko ushoga umeshamiri na ndio mliko wengi huko.
 
Back
Top Bottom