Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Jibu ni dogo,leta ushahidi au link inayo onyesha kwamba kuna anymilitary flying machine ilikuwa involved katika katika operation hii.Ulitaka mrusi aseme wamepigwa!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu ni dogo,leta ushahidi au link inayo onyesha kwamba kuna anymilitary flying machine ilikuwa involved katika katika operation hii.Ulitaka mrusi aseme wamepigwa!!?
hayo makitu hayana msaada wowote kwangu elim yang ya kidato cha4 ina nisaidia kuliko ww ulie soma mambo magumu ukajipa mjina mgumu na kutwa kushinda kuwatetea waarabu na warusi uku ilihali unaishi kwa msoto mkaliSijui umesoma masomo yasayansi kwa kiwango gani -sina uhakika kama unajua pyrotechnics vinamaanisha vitu gani?
Kwa hiyo sio mbinu za marekani tena?kwa hiyo majibu yenu huwa yanategemea na mazingira yaliyopo na si ukweli?Ibilisi ni baba wa uongo.Mimi nime counter uongo wenu - kusema hilo lilitokea miaka 20 iliyo pita ni immaterial - swali ni: Je walipigwa na kudhalilishwa au hapana - yaani vitega uchuminavyo tegemea "trade centers" vinaporomoshwa kama domino, Wizara ya Ulinzi inapigwa, Ikulu inakoswa koswa kidogo nyie hilo mnaliona ni jambo la kawaida kwel?
FYI Dunia nzima inajuwakwamba wanajeshi wanao pihana huko Ukkraine majority no NATO troops walio valia uniform za jeshi la Ukraine - wanajeshi wa Ukraine waliokuwa trained na NATO tangu 2014 karibu wote wamekwisha uwawa na kubakia asilimia 20% tu - sasa kwa kuwa Zelensky ana roho ngumu kama paka haya wa Ukkraine wakifa wote yeye anaona sawa tu mradi amfutahishe Biden kwa kitumia Ukraine kufanyia majaribio ya silaha za NATO Waukraine wanatolewa. kafara na Senselessky na wala hajali.
Ujinga wa Senselessky anasahau kwamba Urusi bado ni super power sio Banana Republics kaingizwa choo cha kike Joe Biden kutafuta mbinu za kuidhoofisha Urusi kiuchumi na kijeshi kwa kuitumia Ukaine in a prpxy war on behalf of US and NATO - their scheme has now failed totally kama sasa wote: Joe Biden, Zelensky na mataifa karibu 40 ya NATO yanapigana kwa kificho na Urusi lakini bado Urusi inawamudu wote - Urusi imewapa cha mtema kuni wote hawakutegemra kama nguvu za kijeshi za Urusi ni balaa - katia kiberiti vifaru vyote vya NATO save Abram anatoa visingizio tu hataki viende front line hataki vikatiwe kiberiti na silaha za Urusi na hivyo kuvifanya vikose soko Uarabuni na far east, ndio maana wakatanguliza vya Uingereza na Ujerumani kuona kutatokea nini kwanza, sasa tangu Wamerikani washuhudie kwenye luninga jinsi vifaru vya Uingereza na Ujerumani vilivyokuwa vinatiwa kiberiti na Lacent drones za Urusi, Merikani hatapeleka. kifaru. hata kimoja Ukraine atakuwa anawazuga tu na visingizio chungu mzima.Ungetaka Zelensky ajisalimishe kwa mrusi?
Shukrani sana kwa ufafanuzi mwanana..😂 hicho no kiwanda cha fataki wala si silaha kimewaka moto chenyewe kutokana na kutofatilia taratibu za safety
PUTIN ni mbwa kokozi wa kutupwa mkuuHakuna aliyetegemea kama Ukraine ataweza kupiga ndani ya Russia Kwa jinsi watu tulivyokuwa tunamwogopa Putin kumbe Putin mwenyewe ni Fala Tu kama mafala wengine
Nakazia!PUTIN ni mbwa kokozi wa kutupwa mkuu
Kanga haachi unyoya wake, mtawajua kwa matunda yao.Merikani ilipopigwa kifara ndani ya Taifa lao na vijana majasiri wa kiarabu kwa kulenga vitega uchumi vikuu vya Merikani, na raia zaidi ya 3,200 kupoteza maisha mbona mlikaaa kimya???
Yaani mpaka Pentagon inatandikwa kifara kabisa na vijana wa kiaarabu.
Yaani taifa linalo jifanya lenyewe zaidi kijeshi na kiulizi Dunia na na nyie mnaona hilo lilikuwa ni jambo la kawaida sana!!! Karibu hata Ikulu ya Merikani ipigwe na vijana hao wa kiarabu, Bush Jr,Condeleza Rice, Dicky Chenney pamoja na majigbo yao yote siku hiyo walikimbizwa kwenda kufichwa kwenye mahandaki ya zege mpaka walipo hakilishiwa kwamba hali sasa ni shwali wanaweza kutoka mahandakini na kuja nje -busara za abiria na ujasiri wao wa moja ya ndege ambayo vijana wa kiarabu walilenga kuitumia kushambulia Ikulu ndio raia wakahamua kupigana na vijana wa kiarabu mpaka ndege ikaanguka mbali kidogo na eneo la Ikulu hivyo kunusuru White House isibamizwe kwa ndege ya abiria iliyokusidiwa kuwaua viongozi wa Merikani.
Sasa nikiona baadhi ya members wanakuja hapa na stori za Abunwasi za kudai eti jeshi la USA ndio Mungu wa Duninia ndio huwa siwaelewi kabisa, wanajifanya kusahau kisa hiki cha aibu.
Wale walikuwa ni Jews Mzee. Mishen yao marekan aingie vitan na wamefanikiwa pakubwa.Merikani ilipopigwa kifara ndani ya Taifa lao na vijana majasiri wa kiarabu kwa kulenga vitega uchumi vikuu vya Merikani, na raia zaidi ya 3,200 kupoteza maisha mbona mlikaaa kimya???
Yaani mpaka Pentagon inatandikwa kifara kabisa na vijana wa kiaarabu.
Yaani taifa linalo jifanya lenyewe zaidi kijeshi na kiulizi Dunia na na nyie mnaona hilo lilikuwa ni jambo la kawaida sana!!! Karibu hata Ikulu ya Merikani ipigwe na vijana hao wa kiarabu, Bush Jr,Condeleza Rice, Dicky Chenney pamoja na majigbo yao yote siku hiyo walikimbizwa kwenda kufichwa kwenye mahandaki ya zege mpaka walipo hakilishiwa kwamba hali sasa ni shwali wanaweza kutoka mahandakini na kuja nje -busara za abiria na ujasiri wao wa moja ya ndege ambayo vijana wa kiarabu walilenga kuitumia kushambulia Ikulu ndio raia wakahamua kupigana na vijana wa kiarabu mpaka ndege ikaanguka mbali kidogo na eneo la Ikulu hivyo kunusuru White House isibamizwe kwa ndege ya abiria iliyokusidiwa kuwaua viongozi wa Merikani.
Sasa nikiona baadhi ya members wanakuja hapa na stori za Abunwasi za kudai eti jeshi la USA ndio Mungu wa Duninia ndio huwa siwaelewi kabisa, wanajifanya kusahau kisa hiki cha aibu.
Hizo story za vijiweni mbona mazi jua sana including so called controlled demolition ya majengo - VHE rigged on criticall columns na kusema kweli ukiangalia kwa kutumia 6th sense utaona kabisa kwamba zoezi zima it was an implosion type demolition yaani majengo yaliyo karibu yasiha adhirike, nasikia siku hiyo hakuna Muisreal hata mmoja aliye repoti kazini?Wale walikuwa ni Jews Mzee. Mishen yao marekan aingie vitan na wamefanikiwa pakubwa.