Drones yalipua kiwanda cha kijeshi Moscow, Urusi ndani ndani

Sijui umesoma masomo yasayansi kwa kiwango gani -sina uhakika kama unajua pyrotechnics vinamaanisha vitu gani?
hayo makitu hayana msaada wowote kwangu elim yang ya kidato cha4 ina nisaidia kuliko ww ulie soma mambo magumu ukajipa mjina mgumu na kutwa kushinda kuwatetea waarabu na warusi uku ilihali unaishi kwa msoto mkali
 
Kimchezomchezo ht sisi tutakuja kuitwanga urusi (natania). Sema nn urus wameniangusha kumbe ubwa koko. Nilikua nawakubal kinomanoma kumbe hamuna kitu.
Angalizo: mm sio pro marekani. Maana nao washenzi tu.
 
Kwa hiyo sio mbinu za marekani tena?kwa hiyo majibu yenu huwa yanategemea na mazingira yaliyopo na si ukweli?Ibilisi ni baba wa uongo.
 
😂 hicho no kiwanda cha fataki wala si silaha kimewaka moto chenyewe kutokana na kutofatilia taratibu za safety
 
Ungetaka Zelensky ajisalimishe kwa mrusi?
Ujinga wa Senselessky anasahau kwamba Urusi bado ni super power sio Banana Republics kaingizwa choo cha kike Joe Biden kutafuta mbinu za kuidhoofisha Urusi kiuchumi na kijeshi kwa kuitumia Ukaine in a prpxy war on behalf of US and NATO - their scheme has now failed totally kama sasa wote: Joe Biden, Zelensky na mataifa karibu 40 ya NATO yanapigana kwa kificho na Urusi lakini bado Urusi inawamudu wote - Urusi imewapa cha mtema kuni wote hawakutegemra kama nguvu za kijeshi za Urusi ni balaa - katia kiberiti vifaru vyote vya NATO save Abram anatoa visingizio tu hataki viende front line hataki vikatiwe kiberiti na silaha za Urusi na hivyo kuvifanya vikose soko Uarabuni na far east, ndio maana wakatanguliza vya Uingereza na Ujerumani kuona kutatokea nini kwanza, sasa tangu Wamerikani washuhudie kwenye luninga jinsi vifaru vya Uingereza na Ujerumani vilivyokuwa vinatiwa kiberiti na Lacent drones za Urusi, Merikani hatapeleka. kifaru. hata kimoja Ukraine atakuwa anawazuga tu na visingizio chungu mzima.
 
Kanga haachi unyoya wake, mtawajua kwa matunda yao.
 
Wale walikuwa ni Jews Mzee. Mishen yao marekan aingie vitan na wamefanikiwa pakubwa.
 
Wale walikuwa ni Jews Mzee. Mishen yao marekan aingie vitan na wamefanikiwa pakubwa.
Hizo story za vijiweni mbona mazi jua sana including so called controlled demolition ya majengo - VHE rigged on criticall columns na kusema kweli ukiangalia kwa kutumia 6th sense utaona kabisa kwamba zoezi zima it was an implosion type demolition yaani majengo yaliyo karibu yasiha adhirike, nasikia siku hiyo hakuna Muisreal hata mmoja aliye repoti kazini?

Mtu unashangaa, USA ilisema Bin Laden ndiye alikuwa muhusika mkuu sasa badala ya kuanza kuishambulia Afghanistan wanashabulia kuishambulia Iraq (Saddam Hussein kwanza) ambaye hakuhusika na ulipuliwaji wa trade center na kwingineko.

Kwa mara ya kwanza nakubaliana na maelezo yako "it was an inside job/operation"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…