Drones za Korea ya Kaskazini yalichezea anga la Korea ya kusini mbele ya Air defense system za Marekani kwa masaa 7 na kurudi salama kituoni

Mwanangu!

Nimekupa tiki, unajua! Umeshinda mwanangu....
 
Kwa kutunga uongo nimewavulia kofia

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Umeanza lini kuwakubali cnn?
 
Shabiki maandazi huyo
 
Mbona unaeleweka vizuri tuu.
Wengi hawaamini kua USA nao ni dhaifu ktk maeneo Fulani.
Na ndio lengo la ubishi wao.
Somo lako linawleweka vizuri mno.
Akiadhirika SK maana yake kaadhirika USA .
 
Ni masaa saba siyo saa moja!! Aliyesema ni masaa 7 ni kamanda wa korea ya kusini!! Umekurupuka!! Soma habari hii kwenye CNN.
 
Kiduku hana madhara kitambo Sana angeshaundiwa makundi ya kigaidi kumsambaratisha
 
Huhitaji link wewe ingia tu kwenye tovuti ya CNN utaikuta habari hii. Nenda google type CNN news na utaipata!
Hiyo ya kusema masaa saba ni chai. Na siyo makombora yaliyotumika.

Halafu huwezi kwenda ku copy unakuja ku paste hapa bila link. Umesomea nini shule?
 
According to the Korea Herald, South Korean air defense systems were unable to detect the UAVs, while jet fighters and helicopters failed to intercept any of them. The JCS apologized on Tuesday for the military’s performance, promising to “aggressively” mobilize its forces against the drone threat.
 
Korea ya kusini yaomba msamaha kwa kushindwa kutungua drones za korea ya kaskazini zilizochezea anga lake!! Jana wao wenyewe walisema drones hizo zilikaa masaa 7, leo wanadai zilikaa masaa matano!

North Korea drones: South's military apologises for pursuit failure​


By Kathryn Armstrong
BBC News

South Korea's military has apologised for failing to shoot down five drones that North Korea flew across their mutual border on Monday.
Seoul fired warning shots and sent jets and attack helicopters to shoot down the aircraft, one of which flew close to the capital.
Despite a five-hour pursuit, the drones reportedly all returned to North Korea.
South Korea's President has said that the incident showed the military's readiness was "greatly lacking".

South Korea's Joint Chiefs of Staff, which represents the major branches of its armed services, acknowledged in a statement on Tuesday that while the military can counter "attack drones that pose a real threat", it is limited in its ability to detect and strike smaller spy drones.
"Our military's lack of preparedness has caused a lot of concern to the people," said a senior official, Kang Shin-chul. He added that the military would "actively employ detection devices to spot the enemy's drone from an early stage and aggressively deploy strike assets".

The BBC's Seoul correspondent, Jean Mackenzie, has said it is concerning because the drone that flew near Seoul had the potential to run surveillance operations and to photograph sensitive areas.
 
Ni masaa saba siyo saa moja!! Aliyesema ni masaa 7 ni kamanda wa korea ya kusini!! Umekurupuka!! Soma habari hii kwenye CNN.

Ndio maana umeogopa kuweka link, umetumia muda mwingi kuandika uwongo.
Tukio limetendeka mpakani, tena sio kwa hayo masaa yote saba.
 
Sio makombora but Ni shells dhidi ya target?
Wazi?
 
Aisee jamaa kumbe dunia imekuacha eenh.

Je unajua 5 December, Engels ilipigwa. Hii ni se cond time bro.

Pia inakuaje drone ina safiri 600km deep into your country?
Hiyo ya pili ndo Askari walikufa but ya mwanzo Hapo Dec 5 ilipiga target na kufanikiwa kuharibu ndege mbili nuclear bombers TU 95 katika eneo la kibin.
 
Usiamini ukute walikuwa na uwezo wa kudungua wanakuacha ujifariji uko imara,
Inabidi wawe makini maana wahuni sio watu
Duh majenerali bila shaka hawana akili Kama yako.
Yaani kitisho dhidi ya ardhi, watu na rasilimali za taifa lako we uamue TU hatuzidungui drone ili maadui wajione smart?
Na wakishajiona smart kwa kunifariji then Nini chafuatia?
Kuacha drone za adui kwenye anga la taifa lako ni udhalilifu mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…