Drones za Korea ya Kaskazini yalichezea anga la Korea ya kusini mbele ya Air defense system za Marekani kwa masaa 7 na kurudi salama kituoni

Drones za Korea ya Kaskazini yalichezea anga la Korea ya kusini mbele ya Air defense system za Marekani kwa masaa 7 na kurudi salama kituoni

Hivi jamaa kweli upo serious wewe. Hii wa kufa wanajeshi 3 ni ya juzi ambayo ni most recent.

Je unajua hii ni mara ya pili hiyo base kulengwa. Nimekwambia Dec 5 ilipigwa hapo na ndege zikaharibiwa na mpaka picha za satellite zikatolewa. Usijizime data

Mwanangu!

Nimekupa tiki, unajua! Umeshinda mwanangu....
 
Kama kuna siku Marekani imechezewa sharubu ni leo!! Marekani hudai majeshi yake yako korea ya kusini ili kuilinda korea ya kusini dhidi ya kitisho cha korea ya kaskazini. Anga la korea ya kusini linalindwa na air defense za marekani zikiwemo Patriot air defense system na THAAD. Lakini leo drones tano (5) za Korea ya kaskazini zilivuka mpaka na kuingia korea ya kusini na kutamba kwenye anga hilo kwa masaa 7!! Kuona drones zimeingia kwenye anga lake, korea ya kusini ilituma ndege zake za kivita ili kuzishambulia bila mafanikio. Ndege za kivita za korea ya kusini zilizirushia makombora 100 lakini makombora yote hayo yaliambulia patupu!!!

Kilichoshtua sana ni kuwa drone moja ilienda mpaka pembezoni mwa anga lililo juu ya mji mkuu wa korea ya Kusini-Seoul. Ndege nyingine ya korea ya kusini ilirushwa kwenda kuongezea nguvu lakini iliishia kuanguka!! Kuona hivyo korea ya kusini ikahisi kuwa ndege yake imepigwa tochi (imeelekezewa electronic warfare na kuzidiwa), hivyo korea ya kusini ikatoa amri ndege zake za kijeshi zikiwemo za kiraia zisiruke kwa masaa kadhaa!!

Baada ya kufanya "manuva" kwenye anga la korea ya kusini kwa masaa 7 na zikafanikiwa kukwepa makombora 100 toka ndege za kijeshi za korea ya kusini, drones hizo zilirudi kwenye vituo vyake huko korea ya kaskazini zikiwa salama salimini!!

Hebu fikiri hasara iliyopata korea ya kusini: 1. Ndege yake moja ya kijeshi imedondoka na kuwaka moto japo marubani wake wawili waliruka kwa miamvuli 2. Makombora 100 ya gjarama kubwa yamerushwa bila mafanikio!! Hii imetokea siku kadhaa baada ya Marekani na Korea ya Kusini kufanya MAZOEZI ya pamoja ya KIJESHI ili kujilinda na kitisho cha Korea ya Kaskazini. Hii inaonesha kuwa Marekani haina uwezo wa kulinda anga lolote kwa uhakika!!

Kama ilishindwa kulinda anga la kituo chake cha kijeshi nchini Iraq hadi ikashambuliwa na makombora lukuki nya Iran, inabidi mtu awe anafikiri kwa kutumia tumbo kuamini kuwa Marekani inaweza kulinda kwa ukamilifu anga la nchi yoyote ikiwemo UKRAINE!!!

Details of North Korean drone incident revealed – media​

A North Korean drone ventured into its neighbour’s airspace for at least seven hours, South Korean media said, citing the military
Details of North Korean drone incident revealed – media

A South Korean Army Apache helicopter fires.

The South Korean military has said it fired more than 100 rounds at a trespassing North Korean drone on Monday, but failed to down it, according to Yonhap news agency. It is estimated that several unmanned aerial vehicles (UAV) remained in the South Korean airspace for seven hours.
Kwa kutunga uongo nimewavulia kofia

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Usitunge kichwani kwako, soma habari ilivyo kwenye chombo chochote cha habari cha MABEBERU unachokiamini BBC, CNN, RUETERS nk. Tatizo hujui kiingereza,. Maelezo jinsi walivyokufa wale askari yametolewa vizuri tu. Walidondokewa na kifusi / Debris cha drone iliyotunguliwa ikiwa inawaka moto tokea angani. Drone ingepiga ndege au chochote na kuilipua mabeberu LAZIMA wangerusha picha ya ndege iliyopigwa na kuwaka moto!!

Soma tena!!
CNN —
Three Russian servicemen were killed Monday after a Ukrainian drone was shot down by air defenses as it approached a military airfield in Saratov Oblast, deep inside Russian territory
Umeanza lini kuwakubali cnn?
 
Usipotoshe!! Drone haikupiga Russia, bali DRONE ILIPIGWA na kudondoshwa na AIR DEFENSE za Urusi, yale masalia yake/debris yakiwa yanawaka moto ndo yakawaagulia askari 3 waliokuwa kwenye ulinzi. Soma mwenyewe kipande cha habari toka CNN, au ingia kwenye tovuti ya mashirika mbali mbali ya habari ujisomee mwenyewe!

CNN —
Three Russian servicemen were killed Monday after a Ukrainian drone was shot down by air defenses as it approached a military airfield in Saratov Oblast, deep inside Russian territory.

Kama hauijui lugha ya Malkia tafuta mkalimani!!
Shabiki maandazi huyo
 
Logic ya kawaida inakataa maelezo yako kuwa waliamua kutumia risasi za kawaida!! Kwanza kitaalamu:
1. Huwezi kutumia risasi 100 kwenye target inayotembea!! Moja kwa moja ni kwamba hutaipata, maana unapolenga unakuta imeshaenda sehemu nyingine!! Kama ni risasi basi wangetumia risasi kwa mamilioni ili walau moja ibahatike kuipiga hiyo drone. Lakini kikubwa ni kwamba hakuna mtutu wa risasi kwenye mitutu ya ndege za kivita unaomwaga risasi 100 tu!! Huwa ni mamia ya risasi hadi maelfu tena ni kwa dakika moja!!! Kwa hiyo hizo siyo risasi za kawaida!!
2. Target inayotembea hata kama iko ardhini kama gari, ikitaka kupigwa toka kwenye ndege ni LAZIMA utumie kombora / missile, maana mfumo wa kombora/missile unaweza kuelekeza na kulifuatia lengo/target (missile guidance system) hata kama target inatembea. Inabidi target ifanye miondoko ya kugeuza geuza mwelekeo mara nyingi kwa dakika ili kuikwepa missile/kombora. Na ndicho zile drones za korea ya kasdkazini zilivyokuwa zinafanya "manuva" za kufa mtu!! Kwa hiyo kwa mantiki hiyo ni lazima hizo rounds 100 ni makombora/missiles!! Vinginevyo labda jeshi la mgambo ndilo linaloweza kufanya kituko hicho cha kutumia risasi kuangusha drones za kisasa ambazo ni target inayotembea kwa manuva kali. Tuliona pale Uklraine kulikuwa na askari wawili wa kawaida waliokuwa wanajaribu kuilenga drone kwa risasi za bunduki ya kawaida bila mafanikio!!
Mbona unaeleweka vizuri tuu.
Wengi hawaamini kua USA nao ni dhaifu ktk maeneo Fulani.
Na ndio lengo la ubishi wao.
Somo lako linawleweka vizuri mno.
Akiadhirika SK maana yake kaadhirika USA .
 
Ndio nimejua leo kweli maustadhi wako desperate, kushindwa kwa Urusi kumefanya wachanganyikiwe sana, jamaa kaanzisha uzi amejaza maneno mengi ya uwongo halafu hajaweka source, na pia andiko la source kaweka paragraph moja isiyoendana na andiko lake lote.
Makombora 100???? Like seriously?? Hilo tukio limefanyika mkoa wa mpakani, na ilikua kwa lisaa moja, na Korea Kusini walikua wanatumia helkopta.
Ni masaa saba siyo saa moja!! Aliyesema ni masaa 7 ni kamanda wa korea ya kusini!! Umekurupuka!! Soma habari hii kwenye CNN.
 
Kiduku hana madhara kitambo Sana angeshaundiwa makundi ya kigaidi kumsambaratisha
 
Huhitaji link wewe ingia tu kwenye tovuti ya CNN utaikuta habari hii. Nenda google type CNN news na utaipata!
Hiyo ya kusema masaa saba ni chai. Na siyo makombora yaliyotumika.

Halafu huwezi kwenda ku copy unakuja ku paste hapa bila link. Umesomea nini shule?
 
According to the Korea Herald, South Korean air defense systems were unable to detect the UAVs, while jet fighters and helicopters failed to intercept any of them. The JCS apologized on Tuesday for the military’s performance, promising to “aggressively” mobilize its forces against the drone threat.
 
Korea ya kusini yaomba msamaha kwa kushindwa kutungua drones za korea ya kaskazini zilizochezea anga lake!! Jana wao wenyewe walisema drones hizo zilikaa masaa 7, leo wanadai zilikaa masaa matano!

North Korea drones: South's military apologises for pursuit failure​


By Kathryn Armstrong
BBC News

South Korea's military has apologised for failing to shoot down five drones that North Korea flew across their mutual border on Monday.
Seoul fired warning shots and sent jets and attack helicopters to shoot down the aircraft, one of which flew close to the capital.
Despite a five-hour pursuit, the drones reportedly all returned to North Korea.
South Korea's President has said that the incident showed the military's readiness was "greatly lacking".

South Korea's Joint Chiefs of Staff, which represents the major branches of its armed services, acknowledged in a statement on Tuesday that while the military can counter "attack drones that pose a real threat", it is limited in its ability to detect and strike smaller spy drones.
"Our military's lack of preparedness has caused a lot of concern to the people," said a senior official, Kang Shin-chul. He added that the military would "actively employ detection devices to spot the enemy's drone from an early stage and aggressively deploy strike assets".

The BBC's Seoul correspondent, Jean Mackenzie, has said it is concerning because the drone that flew near Seoul had the potential to run surveillance operations and to photograph sensitive areas.
 
Ni masaa saba siyo saa moja!! Aliyesema ni masaa 7 ni kamanda wa korea ya kusini!! Umekurupuka!! Soma habari hii kwenye CNN.

Ndio maana umeogopa kuweka link, umetumia muda mwingi kuandika uwongo.
Tukio limetendeka mpakani, tena sio kwa hayo masaa yote saba.
 
Kama drone ilipiga 600km deep in russia, tena kwenye airbase sasa hapo nini cha ajabu.

Alafu kuwa na akili kidogo huwezi tumia THAAD/PARTIOT kwenye cheap target kama hizo.

Kwa hiyo ukiona 100 rounds akili yako inakwambia makombora 100 ? (Pole sana)
Sio makombora but Ni shells dhidi ya target?
Wazi?
 
Aisee jamaa kumbe dunia imekuacha eenh.

Je unajua 5 December, Engels ilipigwa. Hii ni se cond time bro.

Pia inakuaje drone ina safiri 600km deep into your country?
Hiyo ya pili ndo Askari walikufa but ya mwanzo Hapo Dec 5 ilipiga target na kufanikiwa kuharibu ndege mbili nuclear bombers TU 95 katika eneo la kibin.
 
Usiamini ukute walikuwa na uwezo wa kudungua wanakuacha ujifariji uko imara,
Inabidi wawe makini maana wahuni sio watu
Duh majenerali bila shaka hawana akili Kama yako.
Yaani kitisho dhidi ya ardhi, watu na rasilimali za taifa lako we uamue TU hatuzidungui drone ili maadui wajione smart?
Na wakishajiona smart kwa kunifariji then Nini chafuatia?
Kuacha drone za adui kwenye anga la taifa lako ni udhalilifu mkubwa.
 
Back
Top Bottom