Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Acha kupiga sarakasi na msuli.Haujui
Haujui kitu!! Nitumie layman language ili uelewe!! Missile ni usafiri unaobeba bomu la aina fulani ili lifikishwe kwenye target!! Lina guidance system sawa lakini missile inabeba bomu!! Missile inarushwa na kirushio chake, inaruka ikiwa imebebeshwa bomu hadi hilo bomu lifikishwe kwenye target!! Bomu pia linaweza kurushwa au kufyatuliwa moja kwa moja toka kwenye kifyatuo chake ambacho kinaweza kuwa ni mzinga!! Kwa kiswahili missile ni kombora!! Mwisho wa siku kinachoangamiza ni BOMU!! Ndege za kijeshi huweza kurusha mabomu au kudondosha mabomu moja kwa moja hadi kwenye target. Lakini target inayotembea huwezi kuirushia bomu moja kwa moja, lazima hilo bomu liwe guided/lielekezwe ndio maana hutumia missilles/makombora, Ninafahamu pia kuwa ndege za kivita zina mitutu inayoweza kurusha risasi. Lakini mitutu ya ndege hurusha risasi kwa mamia hadi maelfu kwa dakika moja! Hurusha risasi nyingi kwa dakika ili kuongeza uwezekano wa angalau zingine zifanikiwe kufika kwenye target. Kama rounds hizo zingekuwa za risasi zisingekuwa 100 tu kwa mapambano ya masaa 7 yaliyohusisha ndege zaidi ya moja!! Zingekuwa ni malaki hadi mamilioni katika kipindi cha masaa 7. Ndio maana timu marekani hawana ujasiri wa kueleza hizo rounds 100 ni za nini!! Haya tuambie wewe hizo round 100 ni za mawe au? Mimi nimesema ni makombora/missiles kwa sababu zilikuwa zinalenga target inayotembea kwa hiyo lazima bomu liwe guided. Kombora/missile ndio huwa na guidance system! Risasi hazina guidance system ndio maana zikirushwa kwenye target inayotembea lazima ziwe ni maelfu kwa malaki maana ni kubahatisha!!
Nipe tafsiri ya hii kitu ""A round is a single cartridge containing a projectile, propellant, primer and casing""
Hayo maelezo meeengi sihitaji.