Drones za Korea ya Kaskazini yalichezea anga la Korea ya kusini mbele ya Air defense system za Marekani kwa masaa 7 na kurudi salama kituoni

Drones za Korea ya Kaskazini yalichezea anga la Korea ya kusini mbele ya Air defense system za Marekani kwa masaa 7 na kurudi salama kituoni

Mi pia ni timu Kiduku ila hapo kwenye 100 rounds hukuelewa sio makombora kama ulivoitafsiri habari. Nadhani walituma helicopter(apache) kama inayoonekana kwenye picha na hii hua ina gunship(bunduki kubwa) hii ndo inapomwaga risasi zinaitwa rounds. Swali hapa ni namna gani round 100 zimeikosa drone kwa sababu huwezi kutumia patriot au thaad kuangusha drone
Kama hajaelewa hapa itakua ni kumpigia mbuzi gitaa. Ila wacha twende nae mpaka aelewe na hivi leo ninap muda wa kupoteza wacha twende nae tu
 
Usipotoshe!! Drone haikupiga Russia, bali DRONE ILIPIGWA na kudondoshwa na AIR DEFENSE za Urusi, yale masalia yake/debris yakiwa yanawaka moto ndo yakawaagulia askari 3 waliokuwa kwenye ulinzi. Soma mwenyewe kipande cha habari toka CNN, au ingia kwenye tovuti ya mashirika mbali mbali ya habari ujisomee mwenyewe!

CNN —
Three Russian servicemen were killed Monday after a Ukrainian drone was shot down by air defenses as it approached a military airfield in Saratov Oblast, deep inside Russian territory.

Kama hauijui lugha ya Malkia tafuta mkalimani!!

kichekesho.
 
Kilichoniogopesha ni drone moja ya korea kaskazini kwenda karibu na mji mkuu wa korea kusini wa Soul,mishoga imeshindwa kutungua hata drone moja, wataalamu wanasema hizo drone zimefanikiwa kufanya upelelezi na kupiga picha maeneo nyeti ya kijeshi ya korea kusini

vidrone vya millard ayo. haviwez kusumbua jeshi Tukufu la USA.
USA aliziona wakaendelea na mazoez yao kama kawaida
tena wakasema ndio vizur watuone tulivyo jipanga

case closed
 
Usipotoshe!! Drone haikupiga Russia, bali DRONE ILIPIGWA na kudondoshwa na AIR DEFENSE za Urusi, yale masalia yake/debris yakiwa yanawaka moto ndo yakawaagulia askari 3 waliokuwa kwenye ulinzi. Soma mwenyewe kipande cha habari toka CNN, au ingia kwenye tovuti ya mashirika mbali mbali ya habari ujisomee mwenyewe!

CNN —
Three Russian servicemen were killed Monday after a Ukrainian drone was shot down by air defenses as it approached a military airfield in Saratov Oblast, deep inside Russian territory.

Kama hauijui lugha ya Malkia tafuta mkalimani!!
Nikukumbushe ulisema mimi muongo ila nilivyokukibu ukaenda mbbio.

Haya tuambie hii December 5, 2022

S-300
S-400
S-500
Pantisir & Co zilikua zimezimwa au zilikua likizo?
Screenshot_20221226-210231.jpg
 
Serikali ya Marekani hadi sasa imepiga ukimya!!! unajua ni kwa nini? Ni sababu ya aibu!! Korea na Japan hulipia mamilioni ya dola kila mwezi kuchangia gharama za majeshi ya marekani yaliyoko huko kwa lengo la kuwaongezea ulinzi hasa ulinzi wa anga!! Wamenunua air defenses za marekani kwa mabilioni ya dola za marekani halafu wanachezewa na drones za bei kiduchu i aibu sana!! Afadhali wasingejaribu kuzidondosha halafu wadai kuwa hazikuwa na madhara!!
 
mbingunikwetu usikimbie uzi wako
Lete hoja!! Baba yao marekani hadi sasa ameuchuna kimyaaa kwa aibu!! Teknologia ya mabilioni ya dola imeshindwa kwa teknologia ya dola 10,000-20,000. Kapigana kwa masaa 7 bila kufikia lengo sana sana ndege moja ya korea ya kusini ika-crash na kuanguka!! Unajua kwa nini? Ilizidiwa vita ya electronic jamming!! Kuona hivyo korea ya kusini akaogopa na kutoa amri nduge zake zisiruke kwa masaa kadhaa kwa kuogopa zita-crash pia hadi electronic waves vwalizoachia korea ya kaskazini ziishe kwanza hewani!!
 
Usibadili hoja, hakuna picha ya satellite inayoonyesha uwanja wa ndege wa ndani ya Urusi unaoonesha umepigwa na drones!! Toka ukraine ifanye ugaidi huko crimea na urusi kuimarisha ulinzi wa anga Ukraine wamebaki wanajinyea tu!!
 
Kama drone ilipiga 600km deep in russia, tena kwenye airbase sasa hapo nini cha ajabu.

Alafu kuwa na akili kidogo huwezi tumia THAAD/PARTIOT kwenye cheap target kama hizo.

Kwa hiyo ukiona 100 rounds akili yako inakwambia makombora 100 ? (Pole sana)
Pole sana, nakuelewa..
 
Kama hajaelewa hapa itakua ni kumpigia mbuzi gitaa. Ila wacha twende nae mpaka aelewe na hivi leo ninap muda wa kupoteza wacha twende nae tu
Haya tuambie wewe uliyeelewa hizo round 100 ni za mawe au? Tuambie ni kitu gani unaweza kutumia kushambulia drone? Kama ni risasi zingekuwa ni malaki ya risasi kama siyo mamilioni maana ujue siyo ndege moja iliyokuwa inapambana na drones hizo!! Ninafahamu ndege hubeba pia mitutu inayoweza kurusha risasi lakini mtutu wa ndege hurusha mamia hadi maelfu ya risasi kwa dakika moja!! Sasa mapambano ya masaa saba wasingetumia risasi 100 tu!! Lazima hizo rounds ni za mabomu au missiles zilizofungiwa mabomu.
 
Mwanetu hivi vichekesho unavitoa wapi aisee.

Kwa hiyo warning shots zizokua fired ni Missiles

Post yako imesema "Kombora ni missile" kwa taarifa yako missile ni rocket ambayo imewekewa guidance system.


Kwa kuwa ulisema nitafute mkalimani basi nitafsirie hii statement "A round is a single cartridge containing a projectile, propellant, primer and casing"

Alafu tuendelee
Usikimbie, haya rejea hii reply unipe tafsiri ili tumalizane na suala la rounds

mbingunikwetu
 
yani warushe air defence missle kwenye hizi taka taka. kueni serious bas.
View attachment 2459267
Wasingerusha kwa sababu zilizidiwa ujanja zikabaki zimepiga usingizi!! Sasa tuambie si walirusha ndege kadhaa angani kuzifuatilia hizo drones 5 zilizotuwa zinatamba kwenye anga la korea ya kusini kwa masaa 7? Je hizo ndege walizorusha mbona zina thamani mara nyingi kuliko hiyo air defense missiles? Lakini ujue pia kuwa ndege yao mija ya kijeshi ilianguka kutokana na electronic warfare hadi wakatoa amri ndege zote hadi za kiraia zisiruke kwa masaa kadhaa!! Ina maana hiyo ndege iliyoanguka ina thamani ndogo kuliko hiyo drone au?? Sema timu marekani imeshikwa pabaya hadi inaongea vitu bvya ajabu!!
 
Haujui
Mwanetu hivi vichekesho unavitoa wapi aisee.

Kwa hiyo warning shots zizokua fired ni Missiles

Post yako imesema "Kombora ni missile" kwa taarifa yako missile ni rocket ambayo imewekewa guidance system.


Kwa kuwa ulisema nitafute mkalimani basi nitafsirie hii statement "A round is a single cartridge containing a projectile, propellant, primer and casing"

Alafu tuendelee
Haujui kitu!! Nitumie layman language ili uelewe!! Missile ni usafiri unaobeba bomu la aina fulani ili lifikishwe kwenye target!! Lina guidance system sawa lakini missile inabeba bomu!! Missile inarushwa na kirushio chake, inaruka ikiwa imebebeshwa bomu hadi hilo bomu lifikishwe kwenye target!! Bomu pia linaweza kurushwa au kufyatuliwa moja kwa moja toka kwenye kifyatuo chake ambacho kinaweza kuwa ni mzinga!! Kwa kiswahili missile ni kombora!! Mwisho wa siku kinachoangamiza ni BOMU!! Ndege za kijeshi huweza kurusha mabomu au kudondosha mabomu moja kwa moja hadi kwenye target. Lakini target inayotembea huwezi kuirushia bomu moja kwa moja, lazima hilo bomu liwe guided/lielekezwe ndio maana hutumia missilles/makombora, Ninafahamu pia kuwa ndege za kivita zina mitutu inayoweza kurusha risasi. Lakini mitutu ya ndege hurusha risasi kwa mamia hadi maelfu kwa dakika moja! Hurusha risasi nyingi kwa dakika ili kuongeza uwezekano wa angalau zingine zifanikiwe kufika kwenye target. Kama rounds hizo zingekuwa za risasi zisingekuwa 100 tu kwa mapambano ya masaa 7 yaliyohusisha ndege zaidi ya moja!! Zingekuwa ni malaki hadi mamilioni katika kipindi cha masaa 7. Ndio maana timu marekani hawana ujasiri wa kueleza hizo rounds 100 ni za nini!! Haya tuambie wewe hizo round 100 ni za mawe au? Mimi nimesema ni makombora/missiles kwa sababu zilikuwa zinalenga target inayotembea kwa hiyo lazima bomu liwe guided. Kombora/missile ndio huwa na guidance system! Risasi hazina guidance system ndio maana zikirushwa kwenye target inayotembea lazima ziwe ni maelfu kwa malaki maana ni kubahatisha!!
 
kichekesho.
Usiseme kichekesho. Taarifa ya CNN hii hapa!!
CNN —
Three Russian servicemen were killed Monday after a Ukrainian drone was shot down by air defenses as it approached a military airfield. in Saratov Oblast, deep inside Russian territory, according to Russian state news agencies, citing the defense ministry.

Soma sehemu iliyokolezwa wino kama unaijua lugha ya kiingereza halafu uniambie hicho kichekesho kiko wapi?
 
Back
Top Bottom