Drones za Korea ya Kaskazini yalichezea anga la Korea ya kusini mbele ya Air defense system za Marekani kwa masaa 7 na kurudi salama kituoni

Kama drone ilipiga 600km deep in russia, tena kwenye airbase sasa hapo nini cha ajabu.

Alafu kuwa na akili kidogo huwezi tumia THAAD/PARTIOT kwenye cheap target kama hizo.

Kwa hiyo ukiona 100 rounds akili yako inakwambia makombora 100 ? (Pole sana)
Tunajadiliana na darasa la Saba hapa[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Usitunge kichwani kwako, soma habari ilivyo kwenye chombo chochote cha habari cha MABEBERU unachokiamini BBC, CNN, RUETERS nk. Tatizo hujui kiingereza,. Maelezo jinsi walivyokufa wale askari yametolewa vizuri tu. Walidondokewa na kifusi / Debris cha drone iliyotunguliwa ikiwa inawaka moto tokea angani. Drone ingepiga ndege au chochote na kuilipua mabeberu LAZIMA wangerusha picha ya ndege iliyopigwa na kuwaka moto!!

Soma tena!!
CNN —
Three Russian servicemen were killed Monday after a Ukrainian drone was shot down by air defenses as it approached a military airfield in Saratov Oblast, deep inside Russian territory

Kwahiyo tunakubaliana kwamba drone ilifika mpk kambini?!

Kwanza hiyo taarifa imetolewa na Wizara ya Ulinzi ya Russia na tunawajua Russia kwa Uongo,kule Crimea walituongopea hivihivi lkn baadae picha za satellites zikawaumbua ndege tisa zilikua zimeliharibiwa vibaya. Hata hili tukio la Leo tunasubiri picha za satellites tuone jinsi warusi walivyochachafywa mpk wameamua kuhamisha bombers zao toka hapo Engels
 
Ukumbuke ni standard kwa ndege vita/combat helicopter kuwa na gun

Mfano hapo chini ni specs za KA50/KA52 Helicopter ya Urusi. Hizo rounds hapo ni missil

View attachment 2459148
Ninachosema ni 100 rounds of ammunitions!! Hata kama ni rounds za mawe si ndizo walizoziamini! Kwa akili yako unafikiri drones zimerushiwa risasi au? Kwa aibu wameshindwa hata kuainisha ni rounds za silaha zipi!!! Mtutu wa ndege hutema makombora/missiles au mabomu!!! Utakuwa unafikiri kwa kutumia tumbo kama unafikiri walirusha risasi 100!! kama za bunduki nya kawaida!!! Haya tuambie wewe walirusha 100 rounds za vitu gani??
 
Uliposema makombora 100 hapo kwenye original POST ulimaanisha nini?

Kombora ni nini kwa tafsiri yako?

Alafu acha kukimbia POST yako. Ulisema makombora 100 nikakuomba uthibitisho wa makombora 100 unarudi tena eti 100 round za any ammunition?

Haya nipe tafsiri ya Kombora kama ulivyoandika kwenye original POST yako
 
Warusi wa buza wameona super pawer anawaaibisha, Sasa nyimbo zao za kusifu na kuabudu wameona ni vema wakaanza kumwimbia north Korea

Komaeni tu na super pawer wenu hivyo hivyo, hata kama kwaangusha[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Uj
Kwahiyo tunakubaliana kwamba drone ilifika mpk kambini?!

Kwanza hiyo taarifa imetolewa na Wizara ya Ulinzi ya Russia na tunawajua Russia kwa Uongo,kule Crimea walituongopea hivihivi lkn baadae picha za satellites zikawaumbua ndege tisa zilikua zimeliharibiwa vibaya. Hata hili tukio la Leo tunasubiri picha za satellites tuone jinsi warusi walivyochachafywa mpk wameamua kuhamisha bombers zao toka hapo Engels
Ujue kiwanja kulipuliwa haiwezi kuwa siri kiasi cha kuficha kwa kuwa inawezekana kupiga picha kwa satelite toka angani!! Kama kiwanja kingelipuliwa mabeberu wangeshangilia sana na kurusha hizo picha!! Dunia ya leo huwezi kuficha kitu kama hicho. Kwani kambi ya Marekani kule Iraq iliyopigwa na Iran si tuliona pcha zake? Unafikiri hizo picha alirusha Marekani mwenyewe? Angetamani afiche lakini haiwezekani!!
 
Warusi wa buza wameona super pawer anawaaibisha, Sasa nyimbo zao za kusifu na kuabudu wameona ni vema wakaanza kumwimbia north Korea

Komaeni tu na super pawer wenu hivyo hivyo, hata kama kwaangusha[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Timu marekani inapumulia kwenye mashine!!! Hawana cha kusema. Ulinzi wa Bwana wao umefedheheshwa!!
 
Ni risasi za gattling gun. Haya wewe thibitisha ni 100missiles.
Kwa hiyo walienda na mwanasesere kupambana na drones zilizovuka mpaka au?? Hiyo guttling gun imeandikwa wapi? Inajulikana mitutu ya ndege hurusha missiles na mabomu. Hairushi risasi za kawaida!! Zingekuwa risasi za kawaida zingekuwa ni maelfu walav siyo 100. Hilo peke yake linaweza kukupa ufahamu! Haya tuambie wewe hiyo gattling gun uliyojitungia ilirusha rounds 100 za nini? za mawe au?
 
Usiamini ukute walikuwa na uwezo wa kudungua wanakuacha ujifariji uko imara,
Inabidi wawe makini maana wahuni sio watu
Kujifariji bwana, kwahiyo wakaziacha zizunguke huku wakijaribu kuzidungua ikashindikanana ndege yao moja ikaanguka yote ni ukute eti wanakuacha
 
Kwa hiyo walienda na mwanasesere kupambana na drones zilizovuka mpaka au?? Hiyo guttling gun imeandikwa wapi? Inajulikana mitutu ya ndege hurusha missiles na mabomu. Hairushi risasi za kawaida!! Zingekuwa risasi za kawaida zingekuwa ni maelfu walav siyo 100. Hilo peke yake linaweza kukupa ufahamu! Haya tuambie wewe hiyo gattling gun uliyojitungia ilirusha rounds 100 za nini? za mawe au?
Quote zangu zote huko juu umeziruka. Sasa nina haja gani ya kujadiliana na wewe tena.
Jibu maswali niliyokuuliza kwanza
 
Kwa hiyo walienda na mwanasesere kupambana na drones zilizovuka mpaka au?? Hiyo guttling gun imeandikwa wapi? Inajulikana mitutu ya ndege hurusha missiles na mabomu. Hairushi risasi za kawaida!! Zingekuwa risasi za kawaida zingekuwa ni maelfu walav siyo 100. Hilo peke yake linaweza kukupa ufahamu! Haya tuambie wewe hiyo gattling gun uliyojitungia ilirusha rounds 100 za nini? za mawe au?
Ifike kipindi kabla ya kupost uwe unapita google kupata hints za kile unachopost aisee

Hebu basi nipe tafsiri ya Round in Weaponry kwanza.
 
Back
Top Bottom