Drones za Korea ya Kaskazini yalichezea anga la Korea ya kusini mbele ya Air defense system za Marekani kwa masaa 7 na kurudi salama kituoni

Uj

Ujue kiwanja kulipuliwa haiwezi kuwa siri kiasi cha kuficha kwa kuwa inawezekana kupiga picha kwa satelite toka angani!! Kama kiwanja kingelipuliwa mabeberu wangeshangilia sana na kurusha hizo picha!! Dunia ya leo huwezi kuficha kitu kama hicho. Kwani kambi ya Marekani kule Iraq iliyopigwa na Iran si tuliona pcha zake? Unafikiri hizo picha alirusha Marekani mwenyewe? Angetamani afiche lakini haiwezekani!!
Warusi ni mabingwa wa uongo ila huja kuumbuliwa na picha za satellites

Satellite images show heavy damage at Russian air base in Crimea

New satellite images have revealed the heavy damage to a Russian air base in Crimea that was rocked by explosions earlier this week, calling into question Moscow's ability to protect the territory it controls in Ukraine's south.

The pictures, released Thursday, added to a growing belief that the blasts may be the result of Ukrainian attacks, suggesting an ability to strike deep behind enemy lines that could help shift the course of the war.

Kyiv said nine Russian warplanes were destroyed in a series of blasts at the Saki air base in annexed Crimea on Tuesday, while Russia denied any damage and said the incident stemmed from ammunition detonating.

Ukraine has not publicly claimed responsibility for the blasts.

But the satellite images released by Planet Labs, an American public Earth imaging company, appear to contradict Russian assertions.
Destroyed Russian warplanes at southern base suggest an attack that could signal new phase in war

107102397-1660219776253-1920.jpg
 
Risasi zinazorushwa na ndege ni mithili ya bomu!! Siyo kama risasi za kawaida kama za SMG au Mashine gun!! Kwanza zingekuwa ni risasi za kawaida zisingerushwa risasi 100 tu kupambana na drones 5 zinazofanya "manuva" angani kwa kukwepa kupigwa!! Wangerushwa maelfu ya risasi!! Yaani kwa akili yako ndege za kivita zipambane na drones kwa masaa 7 angani halafu ziishie kurusha RISASI 100 kweli!! Hata askari waq miguu wanapotumia machine gun hawawezi kutumia risasi 100 kwa masaa 7 ya mapambano!! Kwa masaa 7 lazima watatumia maefu ya risasi kama siyo malaki au mamilioni!!
 
Kwa hiyo walienda na mwanasesere kupambana na drones zilizovuka mpaka au?? Hiyo guttling gun imeandikwa wapi? Inajulikana mitutu ya ndege hurusha missiles na mabomu. Hairushi risasi za kawaida!! Zingekuwa risasi za kawaida zingekuwa ni maelfu walav siyo 100. Hilo peke yake linaweza kukupa ufahamu! Haya tuambie wewe hiyo gattling gun uliyojitungia ilirusha rounds 100 za nini? za mawe au?
Kaka Acha ubishi...embu pitia hiyo link hapo chini ujifunze

F-15E 20mm Gun System
M61A1 Six-barrel Gatling Gun and Feed System

F-15E 20mm Gun System Specifications
Weight (total)
Gun
Feed System
Ammunition (full)

769 pounds (349 kg)
248 pounds (112.5 kg)
236 pounds (107 kg)
281 pounds (127.5 kg)

Rate of fire

4,000/6,000 shots per minute

Ammunition capacity

500 rounds

Ammunition type

M50- & PGU-series ammunition

Feed system

Linear linkless, closed loop

Drive system

Hydraulic
F-15E 20mm Gatling Gun System
f-15_gun_05-29-2003-no-BG.jpg
 
Ifike kipindi kabla ya kupost uwe unapita google kupata hints za kile unachopost aisee

Hebu basi nipe tafsiri ya Round in Weaponry kwanza.
Tayari nishaeleza fuatilia post zangu!! Sasa wewe unataka kutuambia kuwa hizo rounds 100 ni rounds za mawe au? Je ni rounds za risasi kama risasi za kwenye bunduki au? Hivi kwa akili yako ndege za kivita zinaweza kuruka angani kupambana na drones 5 kwa masaa 7 halafu ziishie kurusha risasi 100 tu!! Hata jeshi la burundi haliwezi kupambana kizembe hivyo!! Tuiambie wewe sasa ni rounds 100 za nini?
 
Risasi zinazorushwa na ndege ni mithili ya bomu!! Siyo kama risasi za kawaida kama za SMG au Mashine gun!! Kwanza zingekuwa ni risasi za kawaida zisingerushwa risasi 100 tu kupambana na drones 5 zinazofanya "manuva" angani kwa kukwepa kupigwa!! Wangerushwa maelfu ya risasi!! Yaani kwa akili yako ndege za kivita zipambane na drones kwa masaa 7 angani halafu ziishie kurusha RISASI 100 kweli!! Hata askari waq miguu wanapotumia machine gun hawawezi kutumia risasi 100 kwa masaa 7 ya mapambano!! Kwa masaa 7 lazima watatumia maefu ya risasi kama siyo malaki au mamilioni!!
Kiongozi nakushauri anza kufanya Comedy. Utatoboa. Mana naona una kipaji cha hali ya juu
 
Tayari nishaeleza fuatilia post zangu!! Sasa wewe unataka kutuambia kuwa hizo rounds 100 ni rounds za mawe au? Je ni rounds za risasi kama risasi za kwenye bunduki au? Hivi kwa akili yako ndege za kivita zinaweza kuruka angani kupambana na drones 5 kwa masaa 7 halafu ziishie kurusha risasi 100 tu!! Hata jeshi la burundi haliwezi kupambana kizembe hivyo!! Tuiambie wewe sasa ni rounds 100 za nini?
Nimesema nipe tafsiri ya round kwenye weaponry? Naona unaruka ruka.

Original POST yako ilisema Makombora 100.

Kombora ni nini?
 
Kwanza hayo masaa 7 umeyapata wapi?! Maana vyanzo vyote vya kimataifa vinasema tukio lilitokea (1:30 GMT) ww unakuja kutuambia ni masaa 7 wakati ni vitu viwili tofauti!!!!!

The incursion comes amid increased tensions on the Korean peninsula, with the North conducting a record number of missile tests this year.

The drones were spotted crossing the border at about 10:30 local time (01:30 GMT).

BBC
 
Kaka Acha ubishi...embu pitia hiyo link hapo chini ujifunze

F-15E 20mm Gun System
M61A1 Six-barrel Gatling Gun and Feed System

F-15E 20mm Gun System Specifications
Weight (total)
Gun
Feed System
Ammunition (full)

769 pounds (349 kg)
248 pounds (112.5 kg)
236 pounds (107 kg)
281 pounds (127.5 kg)

Rate of fire

4,000/6,000 shots per minute

Ammunition capacity

500 rounds

Ammunition type

M50- & PGU-series ammunition

Feed system

Linear linkless, closed loop

Drive system

Hydraulic
F-15E 20mm Gatling Gun SystemView attachment 2459216
Tuambie wewe ni rounds 100 za kitu gani? Je ni za mawe au?? Kumbuka zilizorushwa ndizo walizokuwa wanaziamini!! Kama walizoziamini zilishindwa utawateteaje? Halafu ni mapambano ya masaa 7 hadi ndege yao moja ya kijeshi ika-crash!!! Huwezi kusema walidharau!! Naweza kusema walitumia kila walichoweza lakini wakashindwa!! Hadi zikarudi korea ya kaskazini zikiwa salama salimini na zikiwa zimefanikiwa lengo lake la ujasusi kwa masaa 7!! Hadi muda huu Marekani kwa aibu iko kimyaaaa!!
 
Kuona drones zimeingia kwenye anga lake, korea ya kusini ilituma ndege zake za kivita ili kuzishambulia bila mafanikio. Ndege za kivita za korea ya kusini zilizirushia makombora 100 lakini makombora yote hayo yaliambulia patupu!!!
 
Attachments

  • giphy (1).gif
    giphy (1).gif
    221.2 KB · Views: 1
Tuambie wewe ni rounds 100 za kitu gani? Je ni za mawe au?? Kumbuka zilizorushwa ndizo walizokuwa wanaziamini!! Kama walizoziamini zilishindwa utawateteaje? Halafu ni mapambano ya masaa 7 hadi ndege yao moja ya kijeshi ika-crash!!! Huwezi kusema walidharau!! Naweza kusema walitumia kila walichoweza lakini wakashindwa!! Hadi zikarudi korea ya kaskazini zikiwa salama salimini na zikiwa zimefanikiwa lengo lake la ujasusi kwa masaa 7!! Hadi muda huu Marekani kwa aibu iko kimyaaaa!!
Round 100 za risasi.

Tukio lilitokea 1:30 GMT wala sio masaa 7 kama unavyotaka kutuaminisha.

A South Korean official described Monday’s violation of the country’s airspace as a “clear act of provocation”. In response, South Korea has sent its own spy aircraft across the border over the North’s territory.

The drones were first detected in the skies over the north-western city of Gimpo at around 10:25 a.m. (01:25 GMT), South Korean officials said.
South Korea fires shots, sends jets after invading North drones
 
Nimesema nipe tafsiri ya round kwenye weaponry? Naona unaruka ruka.

Original POST yako ilisema Makombora 100.

Kombora ni nini?
KOmbora ni dude la maangamizi, laweza kuwa ni bomu lililobebwa na missile au bomu linalorushwa moja kwa moja kutoka kwenye mitambo ya kurushia mabomu iliyoko kwenye ndege. Usichojua ni kuwa kinachoangamiza ni bomu lakini kifaa kinachorusha hilo bomu hufanya silaha kuitwa kwa jina tofauti. Kombora ni missile, lakini kilichofungwa kwenye hiyo missile ni bomu. Bomu linaweza kurushwa moja kwa moja kutoka kwenye mzinga!! Kama target ni mbali hilo bomu hurushwa likiwa limebebwa na missile!! lakini mwisho wa siku kinachoangamiza ni hilo bomu!! missile ni usafiri wa hilo bomu. Kwenye ndege kuna mitutu ya kurusha mabomu, au uwezo wa kurusha missile iliyobeba bomu!! Kwa akili yako unaamini ndege za kivita za korea ya kaskazini zilipambana na drones za korea ya kaskazini kwa masaa 7 halafu zikaishia kurusha RISASI 100!! Hata askari mmoja mwenye machine gun ya kawaida hawezi kupambana kwenye uwanja wa vita kwa masaa 7 halafu aishie kurusha risasi 100!!

Hizo rounds 100 ni madude ya nguvu yanayorushwa kwa mahesabu na yana gharama kubwa!! Haya tuambie wewe hizo rounds 100 ni za silaha gani au ni nini??? Kama una ubavu tueleze!!
 
Naitamani sana hii vita jamani nione live watakavyopasuana
 
Kama kuna siku Marekani imechezewa sharubu ni leo!! Marekani hudai majeshi yake yako korea ya kusini ili kuilinda korea ya kusini dhidi ya kitisho cha korea ya kaskazini. Anga la korea ya kusini linalindwa na air defense za marekani zikiwemo Patriot air defense system na THAAD. Lakini leo drones tano (5) za Korea ya kaskazini zilivuka mpaka na kuingia korea ya kusini na kutamba kwenye anga hilo kwa masaa 7!! Kuona drones zimeingia kwenye anga lake, korea ya kusini ilituma ndege zake za kivita ili kuzishambulia bila mafanikio. Ndege za kivita za korea ya kusini zilizirushia makombora 100 lakini makombora yote hayo yaliambulia patupu!!!

Kilichoshtua sana ni kuwa drone moja ilienda mpaka pembezoni mwa anga lililo juu ya mji mkuu wa korea ya Kusini-Seoul. Ndege nyingine ya korea ya kusini ilirushwa kwenda kuongezea nguvu lakini iliishia kuanguka!! Kuona hivyo korea ya kusini ikahisi kuwa ndege yake imepigwa tochi (imeelekezewa electronic warfare na kuzidiwa), hivyo korea ya kusini ikatoa amri ndege zake za kijeshi zikiwemo za kiraia zisiruke kwa masaa kadhaa!!

Baada ya kufanya "manuva" kwenye anga la korea ya kusini kwa masaa 7 na zikafanikiwa kukwepa makombora 100 toka ndege za kijeshi za korea ya kusini, drones hizo zilirudi kwenye vituo vyake huko korea ya kaskazini zikiwa salama salimini!!

Hebu fikiri hasara iliyopata korea ya kusini: 1. Ndege yake moja ya kijeshi imedondoka na kuwaka moto japo marubani wake wawili waliruka kwa miamvuli 2. Makombora 100 ya gjarama kubwa yamerushwa bila mafanikio!! Hii imetokea siku kadhaa baada ya Marekani na Korea ya Kusini kufanya MAZOEZI ya pamoja ya KIJESHI ili kujilinda na kitisho cha Korea ya Kaskazini. Hii inaonesha kuwa Marekani haina uwezo wa kulinda anga lolote kwa uhakika!!

Kama ilishindwa kulinda anga la kituo chake cha kijeshi nchini Iraq hadi ikashambuliwa na makombora lukuki nya Iran, inabidi mtu awe anafikiri kwa kutumia tumbo kuamini kuwa Marekani inaweza kulinda kwa ukamilifu anga la nchi yoyote ikiwemo UKRAINE!!!

Details of North Korean drone incident revealed – media​

A North Korean drone ventured into its neighbour’s airspace for at least seven hours, South Korean media said, citing the military
Details of North Korean drone incident revealed – media

A South Korean Army Apache helicopter fires.

The South Korean military has said it fired more than 100 rounds at a trespassing North Korean drone on Monday, but failed to down it, according to Yonhap news agency. It is estimated that several unmanned aerial vehicles (UAV) remained in the South Korean airspace for seven hours.
Mi pia ni timu Kiduku ila hapo kwenye 100 rounds hukuelewa sio makombora kama ulivoitafsiri habari. Nadhani walituma helicopter(apache) kama inayoonekana kwenye picha na hii hua ina gunship(bunduki kubwa) hii ndo inapomwaga risasi zinaitwa rounds. Swali hapa ni namna gani round 100 zimeikosa drone kwa sababu huwezi kutumia patriot au thaad kuangusha drone
 
Round 100 za risasi.

Tukio lilitokea 1:30 GMT wala sio masaa 7 kama unavyotaka kutuaminisha.

A South Korean official described Monday’s violation of the country’s airspace as a “clear act of provocation”. In response, South Korea has sent its own spy aircraft across the border over the North’s territory.

The drones were first detected in the skies over the north-western city of Gimpo at around 10:25 a.m. (01:25 GMT), South Korean officials said.
South Korea fires shots, sends jets after invading North drones
Drones zilionekana kwanza tokea 1:30 GMT lakini zikadumu angani kwa masaa 7 na hii taarifa imetolewa na korea ya kusini wenyewe!! Soma Hapa:

Details of North Korean drone incident revealed – media​

A North Korean drone ventured into its neighbour’s airspace for at least seven hours, South Korean media said, citing the military
Details of North Korean drone incident revealed – media

The South Korean military has said it fired more than 100 rounds at a trespassing North Korean drone on Monday, but failed to down it, according to Yonhap news agency. It is estimated that several unmanned aerial vehicles (UAV) remained in the South Korean airspace for seven hours.

Leo hamchomoki!!
Soma hapo juu palipokolezwa wino na kama haujui lugha ya malkia usione aibu omba mkalimani!! Drones ZILIBAKIA kwenye anga la korea ya kaskazini kwa masaa saba (7).
 
KOmbora ni dude la maangamizi, laweza kuwa ni bomu lililobebwa na missile au bomu linalorushwa moja kwa moja kutoka kwenye mitambo ya kurushia mabomu iliyoko kwenye ndege. Usichojua ni kuwa kinachoangamiza ni bomu lakini kifaa kinachorusha hilo bomu hufanya silaha kuitwa kwa jina tofauti. Kombora ni missile, lakini kilichofungwa kwenye hiyo missile ni bomu. Bomu linaweza kurushwa moja kwa moja kutoka kwenye mzinga!! Kama target ni mbali hilo bomu hurushwa likiwa limebebwa na missile!! lakini mwisho wa siku kinachoangamiza ni hilo bomu!! missile ni usafiri wa hilo bomu. Kwenye ndege kuna mitutu ya kurusha mabomu, au uwezo wa kurusha missile iliyobeba bomu!! Kwa akili yako unaamini ndege za kivita za korea ya kaskazini zilipambana na drones za korea ya kaskazini kwa masaa 7 halafu zikaishia kurusha RISASI 100!! Hata askari mmoja mwenye machine gun ya kawaida hawezi kupambana kwenye uwanja wa vita kwa masaa 7 halafu aishie kurusha risasi 100!!

Hizo rounds 100 ni madude ya nguvu yanayorushwa kwa mahesabu na yana gharama kubwa!! Haya tuambie wewe hizo rounds 100 ni za silaha gani au ni nini??? Kama una ubavu tueleze!!
Mwanetu hivi vichekesho unavitoa wapi aisee.

Kwa hiyo warning shots zizokua fired ni Missiles

Post yako imesema "Kombora ni missile" kwa taarifa yako missile ni rocket ambayo imewekewa guidance system.

Kwa kuwa ulisema nitafute mkalimani basi nitafsirie hii statement "A round is a single cartridge containing a projectile, propellant, primer and casing"

Alafu tuendelee
 
Drones zilionekana kwanza tokea 1:30 GMT lakini zikadumu angani kwa masaa 7 na hii taarifa imetolewa na korea ya kusini wenyewe!! Soma Hapa:

Details of North Korean drone incident revealed – media​

A North Korean drone ventured into its neighbour’s airspace for at least seven hours, South Korean media said, citing the military
Details of North Korean drone incident revealed – media

The South Korean military has said it fired more than 100 rounds at a trespassing North Korean drone on Monday, but failed to down it, according to Yonhap news agency. It is estimated that several unmanned aerial vehicles (UAV) remained in the South Korean airspace for seven hours.

Leo hamchomoki!!
Soma hapo juu palipokolezwa wino na kama haujui lugha ya malkia usione aibu omba mkalimani!! Drones ZILIBAKIA kwenye anga la korea ya kaskazini kwa masaa saba (7).
Leta source ya taarifa yako,maana hakuna chombo chochote cha kimataifa kimereport taarifa kama yako wala hiyo statement haikutolewa na SK.

Weka link ya chanzo chako
 
Mi pia ni timu Kiduku ila hapo kwenye 100 rounds hukuelewa sio makombora kama ulivoitafsiri habari. Nadhani walituma helicopter(apache) kama inayoonekana kwenye picha na hii hua ina gunship(bunduki kubwa) hii ndo inapomwaga risasi zinaitwa rounds. Swali hapa ni namna gani round 100 zimeikosa drone kwa sababu huwezi kutumia patriot au thaad kuangusha drone
Mkuu mtutu wa helcopter humwaga mamia hadi maelfu ya risasi kwa dakika moja!! Sasa walipambana kwa masaa 7!! Haiwezi kuwa ni risasi!! Achana na ndege ya kivita hata kama ni machine gun ya kawaida haiwezi kuishia kumwaga risasi 100 tu kwenye mapambano ya masaa 7!! Halafu iliyokuwa inapambana siyo ndege moja!! KWA AIBU jeshi la korea ya kaskazini hawakuainisha ni rounds 100 za silaha ipi zilitumika, lakini kwa vyovyote vile haiwezi kuwa ni risasi bali ni mabomu/makombora!!

Back
Top Bottom