Sawa.Wewe mwenyewe unajua kitakachotokea baada ya hilo ndo maana nasema shambulio hilo halina maana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa.Wewe mwenyewe unajua kitakachotokea baada ya hilo ndo maana nasema shambulio hilo halina maana.
Kwa sasa URUSI inapigana na Ulaya combine + Marekani
Pale Ukraine ni kama tu uwanja wa mapambano ila wanaoendesha vita ni wengine
Binafsi natamani tu hii vita iishe kwani Sioni Urusi ikishinda Ulaya + Marekani, sana sana kilichobakia ni kuleta tu uharibifu wa mali kwa kuharibu majengo na miundo mbinu...
MPANGO wa NATO ni kupiga maeneo inside Russia na media zao zinatangaza Sana kuficha aibu ya kushindwa Vita na magari yao plus vifaru vyao and other hardware za kivita vilivyotekwa na kuchomwa Moto Ukraine.