Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile drone ni hatari maana zinajilipua hazina cha kupoteza, yaani ukiituma ndio mmeagana nayo hapo.
But ameomba kujiunga yeye ana Argentina pamoja na ArmeniaMkuu Iran hayupo BRICS , ni India
Iran maandamano makubwa dhidi ya hayatolah soon nao wanapigwa na raia waorussia na iran ni wanachama wamoja ktk muungano wa BRICS... kwhy anachkfnya iran n mumsaidia mwenzake
Du asad yupo mpka leo? Aiseee huyo mwamba sanaRussia na Iran wapo na Umoja wao wa chini chini na ninadhani Iran wanatumia mwanya huo kuweza kujaribu ufanisi wa silaha zao.
Pia hao hao Russia, Iran pamoja na kundi la Hezbollah kutoka Lebanon ndio wanamfanya mpaka Rais Assad wa Syria kuwa madarakani hadi leo.
Assad dynastyDu asad yupo mpka leo? Aiseee huyo mwamba sana
Mwanzo ilikuwa kama tetesi na mshangao kuwa Iran imeiuzia au imeipa zawadi Urusi droni zake ili zishiriki kuitandika Ukraine.Na hata raisi wa Ukraine mwanzoni alizitaja droni kuwa haziwezi kazi na hazitobadilisha kasi yao ya kuteka miji ya Urusi.Mambo yamebadilika tangu wiki mbili zilizopita wakati droni hizo zilipoupiga mji wa bandari wa Odessa na kupelekea Zelensky kuitupia lawama Iran kwa kutoa droni zake za Shaheed kusaidia kuwapiga.Malalamiko hayo yameongezeka hapo juzi Urusi ilipoipiga miji mingi ya Ukraine kwa wakati mmoja.Kwa mara nyengine jeshi la Ukraine limetaja hofu yao kwa droni hizo zinazodowea angani na zinazopiga kama mwewe.
Kwa kifupi droni zimekuwa ni silaha kali katika vita vya kisasa.Vifaru na ndege zenye kupiga mabio na kutoa mvumo mkali si chochote mbele ya droni.Zenyewe zinakuwa juu sana kuliko zinakopita hata B5 zimetulia tu zinaangaza huku na kule. Zile za uturuki TB2 bYraktar zilwaumiza sana Urusi mwanzoni mwa vita.Wacha na wao sasa watumie za Iran kulipiza kisasi.Kilicho nikosha zinashuka kama mwewe kutoka north,south,east na west, wakati mwingine drone mbili au tatu zinaweza kuishukia target kutagemea na ukubwa wa target!! Wanasema nyingine zinaweza kusafiri mpaka 2000Km - nyingine zinaweza kuzunguka zunguka hewani kwa takribani saa 24 zikiwinda targets, target ikijitokeza tu zinaye - sasa sijui jamaa zetu HIMARS zao watakuwa wanazificha wapi - maanake niliona telescopic lenses zake zina zoom mpaka kwenye misitu minene na kufichuwa target zilizo jichimbia - hatari sana.
Mbona hii si droni ?Sheheed drone zinazo gawa doz kwa Wanamgambo wa Ukraine View attachment 2386856
Kama Za MwijagePropaganda...