dimaa JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 4,174 Reaction score 5,658 Aug 25, 2017 #41 ChickMagnet said: Bingwa wa europa anaenda moja kwa moja kwenye makundi bila kuangalia nafas aliyomaliza kwenye ligi Click to expand... Mussa mwakisu aliwaambia hivo, akina masoud+ Oscar Oscar wakambishia Sent using Jamii Forums mobile app
ChickMagnet said: Bingwa wa europa anaenda moja kwa moja kwenye makundi bila kuangalia nafas aliyomaliza kwenye ligi Click to expand... Mussa mwakisu aliwaambia hivo, akina masoud+ Oscar Oscar wakambishia Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Aug 25, 2017 #42 Victoire said: Blatter alishatuambia kuna vidude vingine vya baridi. Sasa kati hizo team sijui zenye majina yapi ndo vitakuwa vya baridi. Ujanja kila sector hata kwenye football as far as money is everything. Click to expand... Kuna usanii mkubwa....
Victoire said: Blatter alishatuambia kuna vidude vingine vya baridi. Sasa kati hizo team sijui zenye majina yapi ndo vitakuwa vya baridi. Ujanja kila sector hata kwenye football as far as money is everything. Click to expand... Kuna usanii mkubwa....
God'sBeliever JF-Expert Member Joined Sep 1, 2015 Posts 5,788 Reaction score 3,033 Aug 25, 2017 #43 Sioni kundi la kifo hapo hapo labda chelsea kwa mbali... hongera kwa CR7