Droo ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) hatua ya makundi msimu wa 2017/18

Droo ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) hatua ya makundi msimu wa 2017/18

Blatter alishatuambia kuna vidude vingine vya baridi. Sasa kati hizo team sijui zenye majina yapi ndo vitakuwa vya baridi. Ujanja kila sector hata kwenye football as far as money is everything.
Kuna usanii mkubwa....
 
Sioni kundi la kifo hapo hapo labda chelsea kwa mbali... hongera kwa CR7
 
Back
Top Bottom