Droo ya Kombe la klabu bingwa na Shirikisho Barani Afrika, Simba SC apewa kigogo

Droo ya Kombe la klabu bingwa na Shirikisho Barani Afrika, Simba SC apewa kigogo

upload_2017-12-19_16-16-44.png

cc: McDonaldJr, Sibonike
 
Ile Dar Derby kama haujui hata timu moja iwe dhaifu vipi ukipata matokeo unashangilia,ila ni wehu kwa timu ambayo ina misimu 5 mfululizo haijabeba ndoo na hata kushiriki mashindano makubwa eti waarabu waiogope [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo mnyama kaanza na 4g. Mtani. Kona 12, penalt 1, umeshinda goli moja. Ukienda kwao unarudi na ujuzi wa kufuga chura Wako jangwani. Na mi nakusubiri nikuchezee chura.
 
Kwa mwendo huu wa Simba kila atakayekatisha anakula nyingi
 
Ukweli ndio huo, Waarabu ndio wanaoiogopa Simba. Ungesema Enyimba walau ningekuelewa, sio El_Masry sijui na Zamalek

Umeongea viseversa. Awaogope kivipi, kwanza Miaka yote waarabu ndio mabingwa__sasa subiri akutane na al ahly, al misry au club ya morocco ndio utawajua vizuri.
 
Umeongea viseversa. Awaogope kivipi, kwanza Miaka yote waarabu ndio mabingwa__sasa subiri akutane na al ahly, al misry au club ya morocco ndio utawajua vizuri.
Kwani Zamalek sio waarabu wa Misri? Jamaa walivuliwa ubingwa wa Africa na akina Kaseja
 
Back
Top Bottom