Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaaaaaaaaaaMwaka huu mtani anapanda ndege
HahahaaaaaaaaaaMwaka huu mtani anapanda ndege
Ndo mnyama kaanza na 4g. Mtani. Kona 12, penalt 1, umeshinda goli moja. Ukienda kwao unarudi na ujuzi wa kufuga chura Wako jangwani. Na mi nakusubiri nikuchezee chura.Ile Dar Derby kama haujui hata timu moja iwe dhaifu vipi ukipata matokeo unashangilia,ila ni wehu kwa timu ambayo ina misimu 5 mfululizo haijabeba ndoo na hata kushiriki mashindano makubwa eti waarabu waiogope [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo mnyama kaanza na 4g. Mtani. Kona 12, penalt 1, umeshinda goli moja. Ukienda kwao unarudi na ujuzi wa kufuga chura Wako jangwani. Na mi nakusubiri nikuchezee chura.
Ukweli ndio huo, Waarabu ndio wanaoiogopa Simba. Ungesema Enyimba walau ningekuelewa, sio El_Masry sijui na Zamalek
ya kale hayo.
Kwani Zamalek sio waarabu wa Misri? Jamaa walivuliwa ubingwa wa Africa na akina KasejaUmeongea viseversa. Awaogope kivipi, kwanza Miaka yote waarabu ndio mabingwa__sasa subiri akutane na al ahly, al misry au club ya morocco ndio utawajua vizuri.
Kwani Zamalek sio waarabu wa Misri? Jamaa walivuliwa ubingwa wa Africa na akina Kaseja