Droo ya nusu fainali UEFA, Manchester City v Real Madrid, Atletico Madrid v Bayern Munich

Okay! Let's wait and see. Muda utafichua yote.
 
Me nashangaa sana watu wanavoichukulia poa man city pellegrin anataka aache legacy pale na wachezaji wote wapo kwenye morali kubwa ...they have nothing to loose
 
Baada ya Barcelona kutoka hata huu uzi umekosa mvuto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…