dev senior
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 458
- 557
Nakataa, hiyo sio mbeleko hata kidogo.... Nazani msimu uliopita wa UEFA ukujifunza kitu.....Yani Madrid kwa mbeleko daaaah shida tupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakataa, hiyo sio mbeleko hata kidogo.... Nazani msimu uliopita wa UEFA ukujifunza kitu.....Yani Madrid kwa mbeleko daaaah shida tupu
Okay! Let's wait and see. Muda utafichua yote.Naona umekwenda kwenye conspiracy kwamba Real Madrid hakupewa fixture ngumu lakini that will not make City to beat them. Kwenye football kila dakika 90 Ni tofauti na nyingine, mfano last season Atletico removed from UCL by Real Madrid, it's not even 2 weeks ago 10 men's Real Madrid beat Barcelona on their home ground. Hao PSG walipigwa na Real Madrid kwenye mzungu wa UCL season hii hii. Sasa Kama unasema huu mwaka Ni Wao kwa vile wewe unapendelea iwe hivyo then okay!
Final is bayern Munich vs real Madrid
Champion is Bayern Munich