amida yohana
Senior Member
- Mar 19, 2017
- 111
- 63
Hayaaaa hatimae real Madrid na altletical na Monaco na juve taarf DW ujeruman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaha uku ndo kubet sas..sio kubet unampelkea pesa muhindi..bora mgawane umaskin wenywe tusiweki nyingi...!
200,000/=
Droo tayl mzeee Monaco na juve
Sasa Monaco kuvaan n juvNilitamani Juve na Madrid
Fainali itapendez kama watakuwa Atletico Vs Juveyaan tim kama ya juve ina hatari ikikutana na Atletico Madrid kwa kuwa hawa wana ku force ucheze mchezo wao, ila kwa Monaco wata furahi sana.
Real na Atletico, wamecheza sana kwenye klab bingwa kias tumewachoka yaan. ni kama annual event imekuwa
itakuwa pengine ni FainaliNilitamani Juve na Madrid
hahahaha...umepatia kama shehe YAHAYANingekuwa nimebet hapa ningepata mpunga sa hizi
Mkuu za siku teleDroo hii inafanyika leo Ijumaa tarehe 21/04/2017 moja kwa moja kutoka Nyon nchini Uswizi yalipo makao makuu ya UEFA.
Itaanza droo ya Uefa Champions League ( UCL ) kisha kufuatiwa na droo ya Uefa Europa League ( UEL )
Semi Final ya Uefa Champions League
Juventus Vs Monaco
Real Madrid Vs Atletico Madrid
![]()
Wakati UEL timu zilizoingia hatua hii ni;
Man Utd
Ajax
Lyon
Celta Vigo
![]()
Karibuni wadau
Ngoja tuoneitakuwa pengine ni Fainali
a very tricky final pia, yaan sjui itakuwajeFainali itapendez kama watakuwa Atletico Vs Juve
long time no see mkuu...Ngoja tuone
Ya mwaka gani hiiFainali ya Atletico na Juve itakuwa kali sana.
Ata mm nimehisi hvyoo final kam itakuwa atletico vs juve..itakuwa final bomba saaanaFainali itapendez kama watakuwa Atletico Vs Juve
Fainali ya Atletico na Juve itakuwa kali sana.
a very tricky final pia, yaan sjui itakuwaje
Wakimataifa haoengland nzima wanaume ni Man United tu