Droo ya Nusu Fainali ya UCL na UEL

Droo ya Nusu Fainali ya UCL na UEL

onL6688k
Droo tayl mzeee Monaco na juve
 
yaan tim kama ya juve ina hatari ikikutana na Atletico Madrid kwa kuwa hawa wana ku force ucheze mchezo wao, ila kwa Monaco wata furahi sana.
Real na Atletico, wamecheza sana kwenye klab bingwa kias tumewachoka yaan. ni kama annual event imekuwa
Fainali itapendez kama watakuwa Atletico Vs Juve
 
Droo hii inafanyika leo Ijumaa tarehe 21/04/2017 moja kwa moja kutoka Nyon nchini Uswizi yalipo makao makuu ya UEFA.

Itaanza droo ya Uefa Champions League ( UCL ) kisha kufuatiwa na droo ya Uefa Europa League ( UEL )

Semi Final ya Uefa Champions League
Juventus Vs Monaco
Real Madrid Vs Atletico Madrid
C97eaWeXoAAvwIa.jpg



Wakati UEL timu zilizoingia hatua hii ni;
Man Utd
Ajax
Lyon
Celta Vigo
C96ZCdMUIAATSVH.jpg


Karibuni wadau
Mkuu za siku tele
 
Back
Top Bottom