Sana, ila Sasa nimerudilong time no see mkuu...
Ahahaha chama hiloo mkuu..record yetu england inaongea yenyewe,ulaya nzima wanaijuaengland nzima wanaume ni Man United tu
karibu tena mkuu...Sana, ila Sasa nimerudi
Asante mkuukaribu tena mkuu...
Mechi zote ni ngumu. Naiona kama mechi flani amazing. Mwendo wa under 2.5 goals.Mkuu Juve wanasumbuliwaga na timu aina ya Monaco.
Ni bora wangepewa Real.
Ngoja nione Man utd inakuaje
Ha ha haaaa umeona eenh mkuuhahahaha...umepatia kama shehe YAHAYA
Yani karibia nusu ya timu zilizo ingia nusu fainali ya UCL na Europa league zinatoka Spain na hata ktk misimu mingi huko nyuma hii inaashiria nini katika soka LA ulaya??????Yani karibia nusu ya timu zilizo ingia UCL na Europa league zinatoka Spain na hata misimu mingi iliyopita hii inaashiria nini katika soka la ulaya ngazi ya vilabu??????
Soka la Spain limekuwaYani karibia nusu ya timu zilizo ingia UCL na Europa league zinatoka Spain na hata misimu mingi iliyopita hii inaashiria nini katika soka la ulaya ngazi ya vilabu??????
inabidi uwasaide wazee wa mikekaHa ha haaaa umeona eenh mkuu
Imagine timu ya Samatta jana ingelishinda sijui ingekuaje leo magazeti ya bongo, mimi binafsi nimefurahi sana kutolewa maana Ingekua samata v/s Manchester United tusingelala maana wabongo kwa kutaka sifa