Droo ya Nusu Fainali ya UCL na UEL

Droo ya Nusu Fainali ya UCL na UEL

C97nM3_XgAIB4gu.jpg
 
Watu wengi mnaibeza Monaco lakini mtaona maajabu yake. Naitabiria mambo makubwa sana. Takwimu hazidanganyi.
 
Serikali itafungia kuonesha ligi za ulaya ili muanze kufuatilia ligi za ndani hasa Vodacom Premier League
 
Yani karibia nusu ya timu zilizo ingia UCL na Europa league zinatoka Spain na hata misimu mingi iliyopita hii inaashiria nini katika soka la ulaya ngazi ya vilabu??????
 
Yani karibia nusu ya timu zilizo ingia UCL na Europa league zinatoka Spain na hata misimu mingi iliyopita hii inaashiria nini katika soka la ulaya ngazi ya vilabu??????
Yani karibia nusu ya timu zilizo ingia nusu fainali ya UCL na Europa league zinatoka Spain na hata ktk misimu mingi huko nyuma hii inaashiria nini katika soka LA ulaya??????
 
Imagine timu ya Samatta jana ingelishinda sijui ingekuaje leo magazeti ya bongo, mimi binafsi nimefurahi sana kutolewa maana Ingekua samata v/s Manchester United tusingelala maana wabongo kwa kutaka sifa
 
Wivu kitu kibaya sana. Haya umefaidika na nini sasa?
 
Back
Top Bottom