Dominus Vobiscum
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 432
- 504
Got it right buddy..UCL
Real Madrid Vs Atletico Madrid
Juventus Vs Monaco!
Hyo ndo prediction yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Got it right buddy..UCL
Real Madrid Vs Atletico Madrid
Juventus Vs Monaco!
Hyo ndo prediction yangu
Juve wanaingia FainaliDuh!Juve wamepewa msala.
Mkuu Juve wanasumbuliwaga na timu aina ya Monaco.Imooo.
Arsenal wamepangwa na GatafeArsenal sijui tunakosea wapi!
tuweke pesa hapabet whatever you want!
mabingwa hao hapo
Jamaa ulikuwepo nini??UCL
Real Madrid Vs Atletico Madrid
Juventus Vs Monaco!
Hyo ndo prediction yangu
Kautabiri kangu kamebuma aisee...Mkeka umechanika mbaya duuuh..[emoji29] [emoji30] [emoji31] [emoji32] [emoji51] [emoji57] [emoji144] [emoji144]utabiri wangu
Real Madrid vs Juventus
Atletico madrid vs Monaco
Au
Real Madrid vs Monaco
Juventus vs Atletico de Madrid
Nitarudi baadae [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
sasa juve hiyo ya monaco ndio ina wafaa, kwa sababu Monaco ni kama Barca, ukiwa cheki Juventus they enjoy to defend na kwenda mbele, yaan kama mwana juve hiyo droo imetenda haki.Mkuu Juve wanasumbuliwaga na timu aina ya Monaco.
Ni bora wangepewa Real.
Ngoja nione Man utd inakuaje
haya na mie hiyo hiyo tutafutane baada ya msimusiweki nyingi...!
200,000/=
uko sahihi mkuu. Juventus nawaona kabisa wakiwa Cardiff.sasa juve hiyo ya monaco ndio ina wafaa, kwa sababu Monaco ni kama Barca, ukiwa cheki Juventus they enjoy to defend na kwenda mbele, yaan kama mwana juve hiyo droo imetenda haki.
then Real na Atletico, its a very tricky game
cc Mussolin5
Fainali hiyo
naomba niwe mweka hazinasiweki nyingi...!
200,000/=
pouwa mkuu!haya na mie hiyo hiyo tutafutane baada ya msimu
yaan tim kama ya juve ina hatari ikikutana na Atletico Madrid kwa kuwa hawa wana ku force ucheze mchezo wao, ila kwa Monaco wata furahi sana.uko sahihi mkuu. Juventus nawaona kabisa wakiwa Cardiff.