Droo ya robo fainali kombe la Shirikisho Afrika: Simba kukipiga na Orlando Pirates

Droo ya robo fainali kombe la Shirikisho Afrika: Simba kukipiga na Orlando Pirates

Simbs SC the pride of Tanzania.

Simba SC heshima ya Tanzania...
Mkuu hayo ni matokeo mabaya sana kwa Simba kwasababu mechi za away zinampa tabu mno kwa kurusu magoli mengi. Kumbuka red arrow alipigwa tatu bila lakini almanusura wafanye comeback.

Kaizer chiefs, As vital, Tp Mazbe, Assec, Berkane, Al Ahly hawa wote wote wamemfunga simba magoli 2+ away. Hivyo Simba inapaswa kupata matokeo ya magoli mengi mechi ya awali ili marudiano jamaa wawe na mlima mrefu
 
Tatizo lenu hamtabiriki mkiwa ugenini. Hivyo safari hii msiende kujilegeza tena halafu mkapigwa tena 4G ugenini! Mkapambane mtoe hata sare tu.
Kwani hatujawahi kushinda ugenini?
 
Mm mwaka 2020 na mwishoni 2021 nilikuwa nanuna Lita moja ya deseli kwa 1621 hapa dsm nilikuwa najaza Lita Mia kwenye kalorry .OMG late CEO nitamkubmbka daima mnk hakutaka kutuvyonza na kuchukua hell kweny mafuta ya dhuluma ktk kipindi hicho ambacho hata yey angetaka kukusanya 200 kwa kila Lita hajashindwa ila mafuta yaliporomoka haswa

HV hz tozo zaid ya 20 kweli serekali haiwezi kuangallia namna wazitishe ili kutizama Hali ilivyo na badae kurudisha tu unamuuziaje mtz Lita 2905 hp dsm au 3000 huko mwanza

Mnk sass nitakuwa naenda makumbusho kwa shiling 700 kutka Happ karume
 
Kwa Mkapa hatoki mtu..... ugenini tuanatoasare. Mnyama afanye kazi ya ziada ili hawa vyura wa pale kwenye lile dombwi maarufu mtaa wa Jangwani wazibwe midomo.

All the best Mnyama. Nusu fainali hiyooooo........
 
Safari hii tunafanya kama tulivyomfanya Zamalek... Utopolo jiandaeni tu kisaiklojia.
 
Walimwengu wabaya yani makolo hayajamaliza kushangilia ushindi yamepelekewa moto jaman watu wapewe nafasi
 
Simba ina shida kubwa eneo la kiungo,tangu Lwanga aumie

Na bado hajarudi kwenye fitness yake
So kwa mechi za away kuokota nyingi sio story hasa tunapokutana na team kubwa.

Kiungo ya mkude ile ndio iwazuie orlando kwao? hapana
 
Yanga wanawacheka simba.

Wakati wenzao simba wameshaingiza billion 1+ huko shirikisho.

Na kupata uzoefu wa kucheza na timu kubwa barani Africa.

Wao kazi yao kufuata UPEPO
 
Back
Top Bottom