kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
unaaza kupotea mkweNaona Maombi yenu tukutane na Timu Dhaifu kwa sasa ya Al Ahly Tripoli ya Libya yamekataliwa na sasa tumepewa Matajiri na Majabali wa Soka la Afrika Orlando Pirates FC ya South Africa...
Mkuu hayo ni matokeo mabaya sana kwa Simba kwasababu mechi za away zinampa tabu mno kwa kurusu magoli mengi. Kumbuka red arrow alipigwa tatu bila lakini almanusura wafanye comeback.Simbs SC the pride of Tanzania.
Simba SC heshima ya Tanzania...
Orlando Pirates ndiyo wababe wa Kaizer Chiefs, Kwenye kile kinaitwa Derby ya Soweto.Moto utawaka
Tatizo lenu hamtabiriki mkiwa ugenini. Hivyo safari hii msiende kujilegeza tena halafu mkapigwa tena 4G ugenini! Mkapambane mtoe hata sare tu.Uto... kwenye ubora wenu
Kwani hatujawahi kushinda ugenini?Tatizo lenu hamtabiriki mkiwa ugenini. Hivyo safari hii msiende kujilegeza tena halafu mkapigwa tena 4G ugenini! Mkapambane mtoe hata sare tu.
Hao Ni kuwapiga kwa mkapa zisipungue 2 au 3Mmmh simba ataweza kweli kumalizia game ugenini?
Mmmh simba ataweza kweli kumalizia game ugenini?
Kuna Watu hawataki Kunielewa Mkuu.UKWELI HUMUWEKA MTU HURU
SEMA HII GAME NGUMU KWENU WATANI
HomeAnaanzia wapi simba?
Wanataka comforting liesKuna Watu hawataki Kunielewa Mkuu.
Something I can never do as they ought.Wanataka comforting lies
safi sanaSomething I can never do as they ought.